wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

    Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Funika pua na mdomo wako unapokukohoa au kupiga chafya ili kuzuia ueneaji wa Covid-19

    Kufunika pua na mdomo wakati wa kukohoa, kupiga chafya na kuongea kunapunguza kasi ya ueneaji wa #coronavirus. Unashauriwa kufunika pua na mdomo kwa kitambaa safi au Kisugudi 'elbow' na kisha ukisafishe au kukitupa ili kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi ya corona. Zaidi ya hayo, unashauriwa...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  4. aabb

    JamiiForums Tanzania Natengeneza BUSINESS CARDS

    ​Natanguliza heshima kwenu wakuu. Natengeneza Business Cards kama sample zinavyoonekana kwenye picha hapa chini. Kuna aina nyingi sana hapa nimeweka mifano tu. (Vilevile ni pamoja na vitambulisho) Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0715393111.
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Taja namba yako halafu taja majina ya classmates wako Na namba Yao husika.

    No. 14: Kipanga WA darasa No. 15: Kilaza WA darasa. No. 16: Mchafu WA darasa No.17: Jamaa anae piga darasa Zima. Na. 18: Ronaldo wa Darasa. No. 19: Msanii wa darasa No. 20: mvuta bangi WA darasa. 21: Tolu wa Darasa. 22: Big wa darasa. 23. Mtu mfupi WA darasa. 24. Black WA darasa. 25...
  6. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Cha kufanya baada ya kuachana na mpenzi wako

    Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa Cha kufanya 1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako 2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock 3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole...
  7. Pamoja tunaweza

    JamiiForums Tanzania Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  9. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kuwa mpole unapokosewa na boss wako

    Habari wakuu!! Mara nyingi wanadamu hatufanani, kitabia, kimtazamo, na hata kimawazo!! Hivyo usishandane na mtu ambaye tiyari ana hasira juu yako kwa maana anaweza kufanya limpendezalo kwako(Mhubiri 8:3 Usifanye haraka kutoka mbele ya uso wake; usiendelee kufanya lililo baya; maana yeye hufanya...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano?

    Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au fedha zake zimekusaidiaje katika kuimarisha uhusiano wenu?
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  12. vnn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Viongozi wafuatao washitakiwe, aidha wako kwenye madaraka au wamestaafu

    Habari, Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja. Napendekeza viongozi wafuatao washitakiwe haraka, maana wamelitia taifa hasara. 1. Waziri wa maliasili na katibu mkuu wa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Boss wako akikuangalia hivi si unaweza ukatetemeka?

  15. Mbagala stendi

    JamiiForums Tanzania Mtakie mema rafiki/mpenzi wako

    Assalamualaikum. Katika maisha kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, ni Jambo la kawaida kwa kila kijana, ni muda wa kumtafuta yule wa ndoto yako wa kujenga nae maisha ikiwezekana mfunge ndoa. Katika harakati za kimahusiano vijana wengi ujikuta wakianguka katika seheme siziso sahihi na kujikuta...
  16. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

    Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  19. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Kwamba pesa siyo kila kitu, sawa lakini hakikisha unazipata kwanza ndipo uongee huo upuuzi wako - Warren Buffet

    Pesa bila mikakati sio kila kitu ni pesa. Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki ni Ile Tozo yenu? Mbona mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu, mafuta ya kula juu. Sasa kuanzia tarehe 8/09/2921 ukihamisha tu pesa benki kwenda benk...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
Back
Top Bottom