wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kuanza msako wa kuwakamata wanaotaka kujinyonga, ole wako ukionekana kama mtu uliyezongwa na maisha

    Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k. === Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
  3. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

    Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama. Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva. Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unaweza date na Primary School classmate wako?

    Wadau kwema. Mwenzenu kuna manzi nilisomaga nae primary school huko Kazulamimba years ago, sasa kupitia haya ma Group ya WhatsApp mtoto wa kike tumezoeana gafla na viutani vya hapa na pale vya kuitana "mine", dear, nimetokea ku fall in love na yeye gafla, Imefikia hatua napanga...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Nilijigonga kwenye ugoko, nikijaribu kukimbia naanzisha ugonjwa upya

    Habarini za wakati huu wakuu. Kwanza tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Pili niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi kila asubuhi ikiwemo joging na mazoezi mengine ya viungo. Pia huwa ninapenda sana kukimbia mara nyingi huwa natoka Kijitonyama mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Manii huboresha ngozi za wanawake

    Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe ni mzuri. Wakati ule 'ninaimba jua lile literemke mama' pale shule ya msingi miaka kadha iliyopita...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wana kisasi kibaya sana, ole wako uingie kwenye 18 za X girlfriend wako uliyemuumiza moyo na hajakusamehe

  8. JamiiForums Tanzania Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

    Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo. Taifa stars anashinda 3.1DRC Wafungaji 1 Fei toto wa yanga 2 Saimon msuva 3 Fei toto anafunga tena CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wako ni Abigael wa leo? Au je, umemuandaaje binti yako kuwa kama Abigael?

    JE MKE WAKO NI ABIGAEL WA LEO? AU JE UMEMUANDAAJE BINTI YAKO KUWA KAMA ABIGAEL? Anaandika Robert Heriel, Tena hakuna kitu kizuri na kinachopendeza kama mwanamke, mwanamke ni ua katika miiba, ni dhahabu katika matope; naye apataye mke mwema ameyapata maisha yake na kuyaokoa walakini akosaye...
  10. JamiiForums Tanzania Family intelligence; Utajuaje mchumba wako ni muaminifu kwenye mapato au Fedha?

    FAMILY INTELLIGENCE; UTAJUAJE MCHUMBA WAKO NI MWAMINIFU KATIKA MAPATO/FEDHA? Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Basi Mimi Taikon nikajiingiza katika Mkondo WA mapenzi. Nikasema Acha niyapime mambo yote yaliyomo huko, kisha nitoe Hesabu Kwa kadiri ya akili yangu ilivyo Kwa wakati huu ningali kijana...
  11. JamiiForums Tanzania Dalili zinazoashiria mpenzi wako wa kike anakuitaji

    Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:- Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto Anasahau sahau kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Watendaji mamlaka ya maji Arusha (AUWSA) ni kero

    Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha. Pamoja na kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Urefu wako unakuweka katika hatari ya kupata saratani, ufupi wako unakuweka katika hatari ya kupata kisukari

    Kuna mabadiliko makubwa ya urefu wa watu duniani leo ukilinganisha na enzi za mababu zetu, kwa sasa wastani wa urefu wa watu umeongezeka kulinganisha na miaka 1,00 iliyopita na moja ya mambo yaliyochangia hilo ni kuboreka kwa maisha ya watu katika maeneo mengi duniani. Watu leo ni warefu zaidi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

    Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp. Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye...
  15. JamiiForums Tanzania Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

    Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia. Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  17. JamiiForums Tanzania Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼 Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

    Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani. Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…