wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri bila kutoa taarifa inasaidia sana kwa usalama wako

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu. Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

    Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife. Usimpende kupita kiasi. Chukulia poa kila issues. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote. Kuwa busy kutafuta hela...
  3. JamiiForums Tanzania Taja sifa za wateja wako zinazofurahisha

    Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie. Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela. Mabodaboda wakitumwa dukani, wao ni kulipia uwe umempiga bei au la! Kuuzia wanawake wenye kipato...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akifiwa, unatakiwa umpe sh ngapi kama rambirambi?

    Mpenzi wangu amefiwa na mjomba wake. Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?
  5. JamiiForums Tanzania Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

    Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii. Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri. Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia Elizabeth abiria wananukia vizuri, mabasi full luxury first class choo ndani. Utatamani usifike Hawali...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mzazi wako anaweza kukuonea wivu na husa kwa neema chache ulizonazo?

    Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
  8. JamiiForums Tanzania Yanga wapo sahihi kwa Ally Kamwe na Privadinho?

    UTEUZI WA YANGA JE WAPO SAHIHI> Nimetama uteuzi wa Yanga kwenye nafasi mbalimbali kuanzi C.E.O mpy mpaka DIGITL MANEGER je wamepatia wapi na wapi wameteza>
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu uliyemtelekeza Mpwayungu Village, tafadhali rudi umchukue mtoto wako

    Tangu ulipomtelekeza kijana huyu hajawa sawa! - mtoto wako sasa anachukia walimu wote na kukesha akiwazulia kila baya kwa lengo la kujitibu stress ulizomsababishia za kumtelekeza kwa mzazi wake wa kike. Bahati mbaya sasa, anaowashambulia ni mabingwa wa kuhangaika na akili za watu hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

    LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA. Anaandika, Robert Heriel Msomi, 😊. Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ulitumia muda gani kupata mtaji wa milioni 3 kwa kutumia mshahara wako?

    Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa. Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3? Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jenerali Manara, wanayanga wanasubiri wito na amri yako kuhusu Morrison kufungiwa

    Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa? Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  15. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Rais Samia unachonganishwa na Mawaziri wako uonekane Mbaya wajipange kwa Urais

    Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini. Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za...
  16. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  17. JamiiForums Tanzania Huo ndio urithi wako wa pekee

    Kama una watoto, waombee, wakumbatie, wakikukosea wasamehe hata bila masharti; huo ndio urithi wako wa pekee! Kuna watu wanatamani wangepata japo mtoto hata mmoja, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao hawajafanikiwa. Na wengine tayari ni wazee. Watoto ni urithi wa pekee kutoka...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz naunga mkono msimamo wako, ila tupo wazazi tunaohukumiwa tofauti na makosa yetu

    Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu. Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa. Jirani a...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri KWA Tundu Lisu;-Samehe yote,Rudi nyumbani,ujumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchango wako ni muhimu,Muda wa kukaa ughaibuni umeisha!

    Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania. Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…