wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

    Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari. Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako? **Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu mchukue notes apa.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CDF Gen. Mkunda tafadhali tupitie pamoja hizi baadhi ya Kauli za Raia waliopokea Kipondo cha MP wako Lugalo na Kauli za Wazazi wao kisha tuzielewe

    Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa "Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu" Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

    Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
  4. Daydream

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikutafutia sababu gani ya kukuacha?

    Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Is it true kwamba serikali Iko answerable kwa maaskofu au maaskofu ndo wako answerable kwa serikali?

    Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe? Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported. Kwanza...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 85% ya Wezi / Matapeli wa Mitandaoni ( Tuma kwa Namba hii ) wanatokea / wako Ifakara Mkoani Morogoro

    "Huwa wanakaa katika Nyumba Moja huku Wake zao wakiwa busy kuwapelekea Vyakula. Na baadhi yao ni Wasomi wakubwa sana tu hadi wana Doctorates ( PhD ) zao" Nukuu hii nimeitoa EFM Radio Asubuhi hii baada ya kumsikia Bwana Innocent Mungi Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Habari na...
  7. Money Penny

    JamiiForums Tanzania MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  8. Ester505

    JamiiForums Tanzania Unachokitafuta kwa mchepuko, kuna mtu kakiona kwa mke wako

    Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa. Kazi iendeleee. Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo. Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha Nini wenzio wanalia wanasema watakipata lini. TULIA KWA MKEO.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dick Cheney: Sitaomba msamaha kwa kuweka familia yako salama

    Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush. Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi 2001 pale World Trade Centre. Katika moja ya interview yake ya mwishoni mwa career yake ya uongozi...
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

    Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa level ya diploma ina maana wako 'Satisfactory' kwa level ya degree

    Salaam leo jumapili siku ya Bwana. Kwenye mada. Kwa hali hiyo sitegemei kusikia wanafunzi wa degree wamekosa ufadhili huu muhimu wa mkopo wa elimu ya juu. Kwa sababu kama sikosei hili ndio lengo kuu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kuanzia degree kwenda juu.Kama ipo ya ziada basi sawa na...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Takasa na safisha vitu na mambo yako kwa usalama wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Vita ya Maisha ni baina ya makundi hasimu mawili. Nuru na Giza, Juu na chini, Uchafu na usafi, Wema na Ubaya, Inuko na anguko, Mng'ao na mfubao. Kwa watu makini wanajua wazi kabisa kuwa ili mambo yako yaende lazima yasafishwe, yatakaswe, na ili mambo yako...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

    Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana. Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu. Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine. Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  15. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

    Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Utajiri wako na hali nzuri ya maisha unayojisifu nayo si lolote kama jamii inayokuhusu ni masikini na fukara

    Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
  18. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mwanzo: Katika kubariki nitakubariki, na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na kwako watatoka watawala!

    Biblia siyo maneno ya hadithi pekee. Ni Neno la kweli na lenye pumzi ya Mungu! Tangu kuwapo kwa ahadi hizo kwa Ibrahimu mpaka leo na hadi kiama, bado Neno la Mungu limeendelea kuthibitisha hayo. Ahadi hizo, ni kwa wazao wa baba wa Imani Ibrahimu na wafuasi wa kweli wa huyu Mungu JEHOVAH. Kwa...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Moja ya watu wa kuwa nao makini kuhusu mke wako ni dada zako

    Kama mwanaume ndio au miongoni mwa waliofanikiwa kwenye familia, usipokuwa makini utagombanishwa na mke wako. Dada zako watajifanya wana extra caring ya kumzidi mkeo + majungu kibao. Kuna muda ni wifu kuwa wao hawafanyiwi na waume zao unayomfanyia mke wako na wapo pia hawaoneshi caring kwa wae...
Back
Top Bottom