wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mwonekano wako unaweza kuwa na athari chanya au hasi wakati wa Usaili wa kazi

    Unapokwenda kwenye Usaili wa Kazi, Mwonekano wako wa mwanzoni tu, unaweza kuwa na athari kubwa wakati wa mahojiano. Na hiyo ni kwasababu tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Waajiri hufanya maamuzi kuhusu ajira ndani ya sekunde 30 za kwanza wanapokutana na mwombaji kazi. Hata kama Usaili si...
  2. JamiiForums Tanzania Unajua athari ya tabasamu lako kwa mke wako?

    Mwanamke! Kiumbe wa kipekee ambaye wanaume wengi hawajamfahamu kiusahihi! Mwanamke, kiumbe "dhaifu" lakini mwenye nguvu ajabu! Mwanamke ni kiwanda kinachoishi! Mpe mchele, atakurudishia ukiwa umegeuzwa na kupewa jina jingine, wali! Mhuzunishe, naye atakufanya "ulie" bila kupigwa! Mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

    • Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji. • Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu. • Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu. • Siku...
  4. JamiiForums Tanzania Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Habari. Assume wewe ni mfugaji wa Kiebrania. Umepewa urithi wa ng'ombe 100 na baba yako. Ndani ya mwaka wakazaliwa ngombe 20. Ukawa na ng'ombe 120. Wakati wa kutoa zaka unefika. Je utatoa ng'ombe wawili kama asilimia kumi ya ng'ombe ishirini walioongezeka au utatoa ng'ombe 12 kama asimilia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Wakuu kwema? Kama tunavyojua watoto walivyo, hawana aibu, wanafanya kile wanajisikia kwa wakati huo, japokuwa kuna wengine wananya kukukomesha. Wanajua mama/baba huwa hataki kuninunulia kitu fulani mkifika supermarket anapiga kelele duka zima wanasikia analilia mdoli😂😂. Ama unajua mtoto wako...
  6. JamiiForums Tanzania Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

    Habari ya asubuhi waungwana. Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo. Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
  7. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Sukari na Kutolala Vizuri huathiri Ubongo wako kila dakika

    Ubongo ni kiungo muhimu katika Mwili wa Binadamu ambacho baadhi ya tafiti zinakitaja kuwa kama 'Msimamizi Mkuu' wa utendaji kazi wote wa Mwili. Ili kiungo hiki kifanye kazi kwa usahihi, ni muhimu kutofanya vitu vinavyoweza kuathiri utendaji wake ikiwemo Kufanya Mazoezi ya Mara kwa Mara na...
  8. JamiiForums Tanzania Paulina ukifukuzwa uanachama CCM kimbilia Mahakamani ukazuie ubunge wako kama wale akina Mdee

    Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako. Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

    Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufahamu endapo mpenzi wako Danga

    According to ze Generali him self, ni rahisi kufahamu hili na sio roketi sayansi. Anasema kama upo Dar na mpenzi wako ana mshahara chini ya milioni 6 take home, ana gari na anakula bujiii, basi fahamu kama sio Mwizi basi ni Danga. Well, kuna watakaouliza General Ulimwengu kafanya lini utafiti...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wahenga je hawa ni walimu wako?

    Je, hawa walikuwa walimu wako? tutajie majina.
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha familia ndo huamua familia yake iweje. Mwanaume ndo kabeba taswira nzima ya familia yake. Mimi leo...
  16. JamiiForums Tanzania Paka wako ukimnyima chakula ataenda kula kwa jirani

    PAKA WAKO UKIMNYIMA CHAKULA ATAENDA KULA KWA JIRANI. Sina shaka kuwa unawafahamu PAKA, kama hujawai kufuga, basi hata kwa jirani zako ushawahi kuwaona. PAKA ni miongoni mwa wanyama wa kufugwa wanaoishi vizuri na binadamu, lakini pia wana tabia ya kubadilika na kuwa moja ya viumbe hatari kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

    Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba: 1. Umekutokea wewe binafsi, Au 2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine, Au 3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea. Karibu🙏🙏🙏
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

    Habarini ndugu wana JF Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli? Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu. Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia. Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…