wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  2. Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha

    Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha 1. UTANGULIZI Kuelewa siri za utajiri wa kweli na endelevu barani Afrika ni safari inayowatatiza wengi. Mara nyingi, tukitazama wafanyabiashara wakubwa, macho yetu huona matokeo ya...
  3. Nimeambiwa niwe naosha vyombo baada ya chakula cha Usiku. Je wako sawa au wanaionea

    Nimeitoa sehemu. Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri, Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
  4. R

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  5. Usioe mwanamke tegemezi ataharibu watoto wako kiuchumi

    Mafanikio ya mtu huanza tangu utotoni kama mtoto kalelewa katika maisha ya utegemezi wa mzazi mmoja tayari unamjenga huyo mtoto naye kuwa tegemezi . Angalia mfano watoto amabao mama zao sio tegemezi halafu ulinganishe na ambao mama zao ni tegemezi utashangaa
  6. Mtoto wako anatumiaje likizo hiii?

    Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata. ✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto. 📖 TUNAFUNDISHA: 🔹 Watoto wa...
  7. Mtoto wako anatumiaje Likizo hii?

    Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata. ✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto. 📖 TUNAFUNDISHA: 🔹 Watoto wa...
  8. Kila Picha Unayopiga na Simu Yako Inaonyesha Ulipo - Watu Wanaweza Kukufuatilia Nyumbani Kwako Kupitia Picha Tu Na Kuhatarisha Usalama Wako

    Habari wadau, Natumai mko poa Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu. Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua? 1. Mahali...
  9. O

    TRUE Mbona unatupewa watoto wako tena haugopi coffin

    The statement in the image is real and accurately attribute the remarks to Homabay Town Mp Peter Kaluma
  10. Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa. Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
  11. N

    Amri ya Mungu inasema usitamani mke asie wako, haitaji mume

    Amri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana. Lakini hakuna...
  12. O

    Wafanya biashara wa Dar wako shapu kuliko wa mikoani

    Unaweza kukuta mfanyabiashara ana account nzuri mtandaoni, kama social media na google business lakini ukimtumia ujumbe kuulizia huduma au bei ya bidhaa, hakujibu. Mwingine anakujibu baada ya siku mbili na mwingine week ni mwendo wa blue tick. Majibu kujibiwa ni kama unatafuta hesabu za hiza utt...
  13. Viongozi wa CHADEMA wako kwenye Mikono salama

    Shalooom Makamanda!!!! Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake ya kawaida limeweza kuwakamata wahalifu jijini Arusha , Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini aina ya Toyota Land Cruiser, lililowabeba makamanda wetu, akiwemo Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa...
  14. K

    Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
  15. wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  16. A

    Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  17. M

    Mke wako azae mtoto mmoja na tajiri, Wewe mume ulipwe Bilioni 1 utamruhusu Mkeo?

    Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya. Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
  18. Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

    Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu. Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka huyo nduki kwake akaone kunani, kufika watu wanabeba makochi sijui asset mbalimbali, kuuliza, JAMANI...
  19. Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Hamjambo! Kujitambua ni pamoja na kutunza uliyonayo. Akili yako, hisia zako, roho yako, mwili wako. Na mengineyo. Ngozi yako ni sehemu ya baraka ulizopewa. Hivi kweli ngozi yako thamani yake ni kuipaka mafuta ya jero au mafuta ya kula? Mafuta ambayo sio ya ngozi unapakaje kwenye ngozi yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…