wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakenya mmelogwa na nani CHAN?

    dah jana sikuamini mlivyoamua kushangiliq wamoroco hivi mmelogwa mmnwezqje kuandaa mashindano na mwishoo mnaishia kushangilia timu za wageni.........Wageningen.......... Nawaza.mmelogwa ama
  2. Halafu tukisema Wakenya akina Tresor Mandala hamna Akili mnatuona Watanzania kama vile tuna Chuki nanyi

    liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe. Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya nidhamu ya shirikisho la soka barani Afrika CAF, Sonko anadai kuwa waamuzi wa mechi walichezesha...
  3. Jamani kuna Wakenya hapa tujadili football kidogo

    Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman , Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze Kukudinyeni...
  4. Hivi Watanzania na Wakenya ni ndugu? Mbona ugomvi na mambo zao ni kama wakaka au wadada wanagomabana

    Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya hiki mwingine anaiga ili aonekane kamzidi. Hatari sana!
  5. Kenya: Huduma za Afya kutolewa bure kwa watu wote

    GT Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM. Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
  6. Mshikamano wa Wakenya kwenye mechi ya Morocco umenishitua sana. Nimeogopa

    Nilikuwa najiuliza swali hivi hao gen z huwa wanapanga wapi mambo yao? Je ni kikundi kinacho fadhiliwa na kigogo fulani? Nani Yuko nyuma yao. Je chai zinazo gawiwa kwa gen z ni kigogo ndo hufadhili? Anapo pigwa mmoja wao na askari na wao kuwavamia askari nakutembeza kichapo je ni bangi zile...
  7. S

    Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  8. Wakenya wanafahamu kweli ku brand history ya kenya!

    🗿 Lost Cities of Kenya – Echoes of a Forgotten Past 🇰🇪 Kenya hides in its soil and forests the stories of thriving cities that once buzzed with trade, culture, and power — now silent, but not forgotten. Here are some of our most fascinating ancient sites: 🏛 Gedi Ruins – Kilifi County: 🌊 A...
  9. Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

    Nawasalimu salaam ! Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa . utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
  10. Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

    Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania. Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
  11. Ndugu zetu wakenya mmetisha sana, Nganya imekaa poa

    https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
  12. Tofauti ya wakenya na Watanzania

    Ni kiasi cha uelewa wa jambo, umuhimu wake,sikio la kusikiliza na mwisho kabisa kuchakata jambo lenyewe.
  13. Sauti ya wakenya ipo juu sana, ni mwendo ule ule OKTOBA KUTIKI TU

    Wakenya wanasema 20 tena https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
  14. Hawa ndio wakenya ambao chadema wanawasifia kwa kujitambua,

    Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
  15. M

    Hizi kejeli za Wakenya dhidi yetu zina ukweli ndani yake? Kwamba bunge linaenda kuwa la Wachekeahaji na mambumbu!

    Mhimili muhimu kwa maisha ya watanzania kwa ajili ya kutunga na kuisimamia serikali imekuwa kama kihoja. Kwamba watu wa hovyohovyo wanaonyesha nia kwenda bungeni kana kwamba ni chooni. Wakenya wapo sahihi.
  16. S

    Hawa Wakenya wabunge wetu waliosema hawana akili kama sisi Watanzania ndio sasa wanatusaidia ndege za ujasiri wa Tanzania kwenda Ulaya!

    KQ to support Tanzania aviation industry National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU). The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
  17. W

    Tiktok umekuwa mtandao wa majivuno ya kikabila kwa kizazi cha watoto wa 2000, Tukipuuza tunaandaa taifa litaloshamiri ukabila

    Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
  18. Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  19. Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
  20. Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

    Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ... Yan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…