wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    Kumbe hadi kwenye sekta hii wakenya wametuacha mbali? Imeniuma sana

    Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo. Kwanza hawapendi kujichubua...
  2. O

    Haiti Wanalia “Msituache!” Wakenya Wakiwaondokea, Raia Wazua Maandamano Makali

    Hii mambo ni moto! Raia wa Haiti wamechachamaa baada ya kuskia Kenyan police wako under MSS wanapack bags kurudi home. Badala ya kushangilia, watu wameingia streets wakisema “msituache kwa mikono ya gangs!” Kwa video imeleak online, wananchi waliblock roads kabisa kuelekea St. Marks na Pont...
  3. O

    Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

    Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking. According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
  4. R

    Sheikh Mwaipopo: Niwaonye vibaraka wakenya wana siasa za kihuni mtu unamtukana mpaka kiongozi, wasituletee siasa zao

    "Nichukue fursa hii kuwaonya wale vibaraka, kuna Wakenya fulani, vibaraka wa Wakenya wale walaji wa malungi, walaji wa muguka. Sisi ni watu na heshima zetu, nchi ina heshima. Hiki kitu kinanishangaza sana. Wakenya wana siasa zao za kihuni, hizi siasa za kihuni za Kenya. Haiwezekani mtu...
  5. O

    Nairobi Living on the Edge: High Costs, Low Pay , Wakenya Wanabreathe Tu

    Maisha Nairobi imekuwa ngumu kuliko kawaida. Despite low official inflation figures, reality kwa ground ni tofauti kabisa — gharama za maisha zimepanda, but mshahara bado iko stagnant. Data kutoka Kenya National Bureau of Statistics inaonyesha kuwa households nyingi especially urban areas wako...
  6. Sifi Leo

    Rais hataniwi, Wakenya mwacheni mama yetu tumieni AI Kwa ajili ya baba yenu

    Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu
  7. O

    Russia Deal Turns Bitter ,Hakuna Fidia kwa Wakenya

    Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi ameibua mjadala mzito baada ya kufichua kuwa serikali ya Kenya iko kwenye mazungumzo na serikali ya Russia kusaidia kurejesha Wakenya wanaodaiwa kupigana vita upande wa Urusi. Akizungumza na Citizen TV leo, Mudavadi alisema kuwa hali ni mbaya zaidi...
  8. City Of Lies

    Urusi haina mpango wa kuwarejesha Wakenya wanaopigana vita ya Ukraine

    Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
  9. DogoWaNjombe

    Rostam Aziz: Wakenya lazima mbadilike, someni alama za nyakati, Kenya sio mkubwa kuliko wenzake wote

    Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG). https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc ============================== Pia soma ~...
  10. O

    Operation Safisha Nairobi, Eric Omondi awaita wakenya Uhuru Park, lengo kuu kubadilisha Nairobi

    Kenyan comedian Eric Omondi ametoa wito kwa Wakenya kujitokeza kwa wingi this Saturday at Uhuru Park kwa kile ameita “Operation Safisha Nairobi.” Lengo kuu ni kuunganisha nguvu na wananchi kusafisha jiji la Nairobi, ambayo imekuwa ikikumbwa na changamoto za taka na mazingira machafu. Kupitia...
  11. Waziri Mayai Wa Maradhi

    Wakenya kukaza mshipi zaidi bei ya vyakula ikipanda

    Kulingana na ripoti iliyotolewa Ijumaa na Shirika la Kitaifa la Takwimu Kenya (KNBS), Februari 27, bei za baadhi ya vyakula zimepanda. Kati ya Januari na Februari mwaka huu, bei ya sukuma wiki ilipanda kwa asilimia 2.4, huku ile ya kabeji na viazi kila moja ikiongezeka kwa asilimia 4.0. Sekta...
  12. O

    Wakenya kuteseka kupata passport, yet people with questionable integrity kutoka mataifa mengine kupata kwa haraka- are our passport credible?

    A law firm has written to the Director General of Immigration Services, citing Article 35, demanding details on how 28 foreign nationals including Wicknell Chivayo and Sudanese individuals linked to RSF allegedly obtained Kenyan passports. Despite facing international sanctions and integrity...
  13. Lycaon pictus

    Krismasi hii wakenya wamejua kuvaa.

    Wakenya mambo yao.
  14. stakehigh

    Mdahalo wa BBC kuuliza wakenya wanataka nini, wakina Karua mwishowe wameumbuka

    https://youtu.be/ombHjfUoaiQ
  15. stakehigh

    Wakenya mnawaangusha wasanii wenu

    https://www.tiktok.com/@nickibigfish/video/7581171984571108664?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  16. ndege JOHN

    Nimeulizwa swali kwanini wakenya wako vizuri kwemye riadha sina jibu

    Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
  17. A

    Maoni ya wakenya kuhusiana na taarifa ya CNN

  18. S

    Mbona ni kama Wakenya wameshinda Tanzania akili?

    Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo. Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
  19. one one chief

    Je, ni kwanini Wakenya wanaonesha Moyo mkubwa wa kuunga mkono mapambano ya kidemokrasia Tanzania, Ila majirani wengine kimya?

    Katika siku za hivi karibuni, mitandao ya kijamii imejaa sauti kutoka kwa Wakenya, hasa vijana, wakionesha mshikamano wa dhati na Watanzania wanaopaza sauti dhidi ya mifumo ya ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za binadamu na matumizi mabaya ya madaraka. Hali hii imezua mjadala mpana: kwa nini...
Back
Top Bottom