wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    “Ruto Aliahidi Mbingu, Akawapa Wakenya Jehanamu!” Bennyhinn Walubengo Aikosoa Serikali ya UDA

    Katibu Mkuu wa chama cha People's Party of Kenya (PPK), Bennyhinn Walubengo, amemkosoa vikali Rais William Ruto, akidai kuwa umaarufu wake umeshuka kutokana na kushindwa kutimiza ahadi alizowapa Wakenya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2022. Akizungumza katika kipindi cha JKLive cha...
  2. Alexido jz instagram

    Tiketi za elfu 51000, 102,000 zimeisha, Bayern vs AJAX, wakenya wanamtaka Kane live

    Ufunguzi talanta stdium, sio wa kinyonge, kingilio cha chini 51000 mzunguko zimeisha tiketi, kweli kenya ni the capital city of africa, wabongo tunge anza kulia kingilio kikubwa, zimebki V.I.P tu.
  3. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  4. O

    Hali ya Kusikitisha ya Misitu ya Aberdare Yazua Hofu na Mshangao Mkubwa Miongoni mwa Wakenya

    Wakenya wengi wameachwa na mshangao mkubwa baada ya video kuibuka ikionesha hali halisi na ya kusikitisha ya uharibifu wa misitu katika eneo la Aberdare. Picha na video kutoka eneo la tukio zinasambaa kwa kasi mtandaoni, zikionyesha eneo kubwa lililokatwa miti vibaya na kuacha nyufa tupu zenye...
  5. O

    SI KWELI Rais Ruto Asema Sasa Wakenya Wanajua Kwa Nini Alimfinya Gloria Orwoba

    Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto alizungumzia tukio kati ya aliyekuwa Seneta mteule Gloria Orwoba na mjomba wake, mtangazaji mkongwe Fred Obachi Machoka. Graphic hiyo, yenye tarehe Oktoba 11, 2026, inamnukuu Ruto...
  6. W

    Wakenya Waishio Nchini Uganda na Kura za 2027 - Pukose Asema "Watakaowazuia Watauawa"

    Mbunge wa Endebess, Dkt Robert Pukose, amezua mjadala baada ya kutoa kauli kali kuhusu Wakenya wanaoishi Uganda na wanaotarajiwa kuvuka mpaka kushiriki uchaguzi wa 2027. Katika hotuba iliyoripotiwa Oktoba 2, Pukose alisema kuwa yeyote atakayejaribu kuwazuia Wakenya hao kuingia nchini kupiga...
  7. O

    Wakenya wanaweza kununua Hisa za Dangote kwa kiasi cha Ksh. 490 kupitia NSE

    Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika. Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
  8. Huihui2

    Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  9. Lavit

    Wakenya wameweza vipi kuwa na lipa namba mpaka kwa boda boda na wauza mboga?

    Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo! Hawa jamaa ukifika kwao kila mahali kuna lipa namba, kuanzia boda boda, wamachinga barabarani, wauza mboga mpaka daladala! Yaani...
  10. O

    Bei ya Gas Yapanda: Wakenya Kujiandaa Kulipa Zaidi Kuanzia Oktoba

    Bei ya kupikia kwa kutumia gesi ya LPG inatarajiwa kupanda nchini kuanzia Oktoba 2026, huku ongezeko hilo likihusishwa na kupanda kwa bei za kimataifa za propane na butane—gesi kuu zinazotumika kutengeneza LPG. Kwa mujibu wa data ya Saudi Aramco, bei ya butane ilipanda kwa 25.8%, kutoka...
  11. I

    Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  12. O

    SI KWELI Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya?

    Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya? Ubalozi wa Kenya Watoa Ufafanuzi
  13. O

    Tanzania Yaweka Mandatory Travel Insurance ya Sh5,700 kwa Wageni, Lakini Wakenya na EAC Wako exempted

    Tanzania imeanzisha mandatory travel insurance kwa wageni wanaoingia Mainland Tanzania, hatua ambayo itaongeza gharama ya safari kwa baadhi ya international visitors. Chini ya Insurance (Inbound Travel Insurance) Regulations, 2026, foreign visitors wanaolengwa watalipa USD44, takriban KSh5,700...
  14. F

    Hivi wakenya walianzisha na kupigia upatu sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili au kutaka kukiua?

    Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf. Huwa siachi kushangaa na kujiuliza. Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au kutaka kukiua na kuzalisha kipya? Najua japo si wote, wakenya wanaabudia sana kimombo. Mbona sasa...
  15. Traxtion

    Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  16. Jannatul Firdaus

    The Bien atoa neno; Wakenya wanaowafukuza waburundi

    Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Bien ametoa ujumbe kwa wakenya wanzake akiwasihii kuhimiza umoja miongoni mwa wa afrika wenzetu. Bien amezungumza hivi kufatia tukio lilotokea hapo Kenya wa baadhi ya raia kutaka waburundi wasio na vibali waondoke nchini hapo, katika ujumbe aliouchapisha Bien...
  17. O

    Rais William Ruto awataka Wageni kuacha kufanya biashara ndogo na kuachia Wakenya wazifanye

    Rais William Ruto ameagiza hatua zichukuliwe dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo ndogo nchini Kenya, akisema nafasi hizo zinapaswa kuwa kwa Wakenya. Akizungumza na wafanyabiashara wa Micro, Small and Medium Enterprises (MSMEs) katika Ikulu ya Nairobi Jumatano, Septemba 2, Rais...
  18. I

    Usalama Nairobi: Tukio la Mchana Linalowafanya Wakenya Kuuliza Maswali

    Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake. Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
  19. O

    Familia 32 za Wakenya Kupokea Sh11.3 Bilioni Fidia ya Ajali ya Ethiopian Airlines

    Familia za Wakenya 32 waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Ethiopian Airlines Flight 302 mwaka 2019 zinatarajiwa kupokea jumla ya dola milioni 87.3 (takriban Sh11.3 bilioni) kama fidia. Ajali hiyo ilitokea Machi 10, 2019, muda mfupi baada ya ndege hiyo kuondoka Addis Ababa nchini Ethiopia...
  20. O

    Rais William Ruto Awakaribisha Wakenya 5,000 Katika Majadiliano Ya Vision 2060

    Rais William Ruto anatarajiwa kuwa mwenyeji wa zaidi ya Wakenya 5,000 kutoka kaunti zote 47 katika mkutano wa kitaifa unaofanyika leo, Jumatano, Agosti 12, 2026, katika KICC, Nairobi, kujadili mwelekeo wa Kenya kuelekea Vision 2060. Mkutano huo unaashiria mwanzo wa ushirikishwaji wa umma katika...
Back
Top Bottom