wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unakataa ndoa na kuoa halafu unatoka kimapenzi na wake au waume za watu ndio mazuzu walivyo

    Kampeni ya kataa ndoa na kuoa inamantiki kwa wasiotoka kingono na wake au waume za watu nje hapo hawa wanachama Ni mazombi. Ukibisha utapaa mbinguni na mapepo
  2. JamiiForums Tanzania Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010. Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke...
  3. JamiiForums Tanzania Bi Chaudele anaonewa tu. Hana alijualo na uelewa wake

    Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake. yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe...
  4. JamiiForums Tanzania Nitaachaje Kumpenda Rais mwenye Maamuzi Mema ya Kiutendaji kwa Wananchi wake kama huyu wa Nigeria?

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya...
  5. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mzazi akawasaliana na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili kusaidia ombi la uhamisho

    Habarini za asubuhi wapendwa Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuiga Pacome kuweka bleach kichwani lakini uwezi kumuiga ubora wake!

    Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleach🤣🤣 lakini uchezaji wao ni Kama konokono wa migombani! Huyu bwana energy yake, maarifa yake ni babkubwa, anatoa somo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya gari za 'Patrol' zinatolewa Plate Number na Askari wake hawatoi Vitambulisho?

    Wakuu, Kuna kitu kinanipa shida sana kuhusu utendaji wa Idara za Ulinzi na Usalama nchini, bado zinafanya kazi kizamani na kikoloni sana. Wakati dunia imeadvance kwenda kwenye Teknolojia wao bado wanafanya kazi kwa utaratibu wa kishamba sana. Kuna huu utaratibu wao kutumia magari yasiyo na...
  8. JamiiForums Tanzania Marvel na Walt Disney zampiga chini Jonathan Majors kutokana na kesi ya Unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama kumkuta Mwigizaji huyo na hatia ya kumpiga na kumnyanyasa kimwili, Grace Jabbari, aliyekuwa mpenzi wake amnaye alimfungulia Kesi Majors Machi 2023. Katika mashtaka, Grace alidai alikuta Meseji za Mapenzi kwenye Simu ya Majors na alipojaribu kuchukua SImu...
  9. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi. Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote. Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho. Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli Waefeso...
  10. JamiiForums Tanzania Shafii Dauda na Dahuu wateuliwa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam

    Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa ! Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka. ========...
  11. JamiiForums Tanzania Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma Mohammed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  13. JamiiForums Tanzania Nilitahadharisha kuhusu CHADEMA na Wabunge 19 kuwa hukumu zitakuwa za kutatanisha

    Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu? Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya hawa Wabunge wenu Waasi 19 kwani hakuna ambacho Kitabadilika na wataendelea kuwa Wabunge hadi June...
  14. JamiiForums Tanzania Papa Francis asema Israel ni magaidi walioua wafuasi wake ndani ya kanisa Gaza

    Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa. Kiongozi huyo akaendelea...
  15. JamiiForums Tanzania balozi zetu zijitafakari kwa raia wake waliopo nje

    hizi balozi za asante au kukomoana hapa nchi zinazopeleka watumishi kiukweli ni aibu na hakuna msaada wowote wa faida yoyote cha kutuletea wala kutusaidia. ukipata matatizo pambana nayo wewe mwenyewe sio kama balozi zengine zikifatilia raia wake hata kama kalewa bichi kidumbwi. jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Kupiga wake na mademu za watu

    Nilikuwa kama namuogopa vile ila kumbe fresh tu nilipiga yule demu wa jamaa hadi sikuaminini kwani ilifikia hatua alikuwa analipia hadi hotel na anamuaga jamaa tunakaa wiki.Hebu tupe ya kwako ili tujipongeze kuwa sisi ni wajanja.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

    Habari wana jamii forum? Kuanzia miaka ya elfu mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk. Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno...
  19. JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    .
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…