the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
INTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....
Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.
Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA??
Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya...
Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae.
Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza...
Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana.
Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki.
Embu tujuzane kwa nini
Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
Wakuu
====
Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni,
Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi
Usajili usio na tija
Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya kimataifa
uongozi
Kwa sisi ambao ni wapenzi wa kutazama documentaries hususani za Wanyama na investigation documentaries kwenye hii channel ya natgeo, ni wale wasimuliaji wake wa matukio.. nawakubali sana.
Mmojawapo ni huyu mama kwa jina Amanda alexander. Ana sauti ya kipekee sana.
Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+.
Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee.
Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee.
Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani
Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?
Karibu gardeners
Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu.
Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo kifo ni sehemu ya uumbaji katika kumkutanisha Mja na Muumbaji.
Kama kifo ni wajibu kwanini...
Wakuu,
Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke...
POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI?
Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.