the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita.
Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe hakuelezea sababu yoyote ya kuacha wadhifa wake, aliandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter...
Salaam wana jamvi,
Nimesikitishwa na kinachoendelea bungeni Kwa sasa kwani nitofauti kabisa na misingi ya uwanzishwaji wa chombo hiki. Hivi karbuni bungeni pamegeuka ni mahali paku onyesha umahiri wa Ku kejeli, kusifu,vkukashifu nk. Nijuavyo Mimi Kazi ya mbunge nikushauri ,kuisimamia serikali...
Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako...
Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo
" Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021.
--
Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua...
Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba amesema "Tunaelekezwa hii miradi ni mizuri lakini hadi leo Serikali...
Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa.
Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi.
Mbunge huyo...
Habari za leo wakuu
Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hili suala la Wazazi. Nadhani wengi wenu mnakumbuka enzi za shule hasa secondary na high school ilivyokuwa, ule wakati wa story za vijana utasikia tunatetea suala la kuwa na kesi mtaani, mfano; skendo za mahusiano na wasichana kadhaa...
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
Naomba kama kuna mwenye jibu anipatie ii na mimi niweze kuwa huru kumsifu na kumpongeza shujaa wetu huyu na niweze kumtofautisha na wale wengine waliotupa matumaini ya uchumi wa gesi mwaka 2015 na tukawa tunashangilia mithili ya "mazuzu".
Sio kama miradi yake yote siiungi mkono,bali ningetamani...
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile...
Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti...
Anaandika Millard Ayo
"Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kilichoongea na millardayo.com shauri hilo limefunguliwa na Benard Paul Mnyang’anga katika...
Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu.
Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba.
Maeneo...
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji.
Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu.
----
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania wakuu wote, wanyonge na mabwanyenye wote.
Haraka sana kwny mada
iko hivi mi fb akaunti yangu picha nimeweka ya mke wng mbaya zaidi hata jna ninalotumia huko halijulikani kama ni la kiume au la kike
nipo kwny group moja la wanawake nao...
Nimejiuliza sana hawa watu au hili kundi linatakaje au lilitaka iweje?
Maana kama ni kusema madhaifu aliyoyakuta ni sawa kabisa maana hata mtangulizi wake aliwananga sana marais waliopita maana na yeye aliyakuta madhaifu. Sasa kwanini yake yafichwe?
Tena naona kidogo mama anatumia sana staha...
Inasemwa kuwa. Hizi nchi ambazo kiwango cha furaha kipo chini, huzuni ni kitu cha kawaida. Hata mtu akiwa na huzuni au msongo wa mawazo anaona karibu jirani zake wote wanahuzuni, hilo humfariji sana. Lakini zile nchi ambazo watu wengi wanafuraha ni tofauti. Watu wengi wanafuraha hivyo ikitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.