the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine. Wachague kwenda kufa au jela miaka kumi..............................
Kuna taarifa vijana...
Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet:
Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu.
Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na upotoshaji wake tena kwa raha zake.
Wataalam, TCRA, wasomi, vyuo nk wapo ila wote kimya! Utadhani...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili ya leo, kazi inaendelea...
Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambako mwanasheria wako, Wakili Pascal Mayalla, anakuzamisha kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura. Leo tunaenda SURA...
Huyu mwanadamu ni nyoka.
Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza.
Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia...
Ni huko kwa wanaijeria.
Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding.
Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member.
Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyefahamika kwa jina la Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati akiwa amelala majira ya saa sita usiku, kisha kuuchukua mwili na kuutumbukiza kisimani kwa...
Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake.
Alisema...
Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo.
Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi.
Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo lililofanya nijuane na mama yake kwa kipindi hicho ni kibaya sana na hatua aliyochukua ni mbaya...
Hawa wakubwa bwana wanapenda Sana maigizo. Wakiwa madarakani utadhani ni wa moja la hasha.
Fuatilia historia nyingi za Raisi na Makamu wake mara zote siyo nzuri.
Kwa Tanzania Makamu wa Raisi huchaguliwa Kwa mkakati maalumu na huwa siyo chaguo la Raisi aliyeko madarakani.
Tanzania makamu wa...
Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza
Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake
Putin...
Uhai wa serikali yoyote unategemea mapato inayoyakusanya ili kuendesha mipango yake katika nchi. Na nguzo kuu ya mapato hayo huwa ni wananchi waliyoipatia dhamana serikali hiyo hasa kwa njia ya kodi. Lakini nakumbuka kanuni za ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kodi zilizotolewa na mwanafalisafa...
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni.
Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku.
Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio...
Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo....
Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha isiyokifani, tulisherehekea kana kwamba hakukuwahi kutokea wala hapatatokea tena harusi kwenye ukoo wetu...
Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake
Na Tanganyika Leo.
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza ni kwanini muungano wetu sio wa serikali moja yenye mamlaka kamili kama ilivyo kwa nchi na serikali nyingine duniani zilizoamua kuungana na kukasimisha nguvu na mamlaka yake kwa serikali moja...
Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza kumgharimu mhusika au mgeni yoyote kwa namna moja au nyingine.
Hii inaanzia katika ngazi ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.