Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022
Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023, waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa.
Kauli ya Rais Samia...
Serikali imeanza kusambaza mahindi ya msaada kwenye maeneo yenye njaa kwa bei ya unafuu! wakati huo huo malori yaliyobeba shehena ya mahindi kutoka Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma yanavuka mipaka ya Holili na Silali, kwenda Kenya, lakini hakuna mahindi au mchele unaotoka Kenya, Uganda, Rwanda...
Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia.
Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa screenshot kimyakimya bila kutoa souti?
Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto.
Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi.
Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa.
Fumanizi huwa ni kipindi gani?
Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka.
Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia...
Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa
"Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya...
TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite.
Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
Kama kawa kama dawa.
Wakisikia mbunge fulani kafariki hivyo uchaguzi utarudiwa, fasta bajeti 5bn zinapatikana mwenyekiti wa tume uchaguzi anatangaza mchakato .
Wakisikia CHADEMA inafanya mkutano, fasta saa moja nyingi sana vikosi vinamwagwa, magari ya washa washa kibao kama upupu.
Tuwe...
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa?
Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa?
Halafu mlivyonikwaza zaidi...
Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu.
Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe.
Ukraine na Russia sababu ni wewe
Habari wana JF,
Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo.
Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.