wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja: Kwa nini Dubai wanalazimisha mfumo wa mikataba unaojumuisha IGA na HGA wakati miradi yote itatekelezwa nchini Tanzania?

    Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni kitako cha piramidi; (2) Host Governmental Agreement(HGA) ; (3) Project-level Lease Agreement (PLA)...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
  4. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo (7) wasiyotaka Wanamke wakati wa tendo

    Mwanaume kumaliza sex na kuondoka. Unapomaliza kusex na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea nawe, wako hivyo! Usifike kitandani na kuanza sex. Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe...
  6. JamiiForums Tanzania Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

    Vilio vya Ukata na Biashara kupromoka vimeanza kusikika kutoka Chato kufuatia Mji kubakia magofu 😁😁 My Take Tuliwaambia lakini hamkusikia johnthebaptist ona Sasa mataa yanaongoza baiskeli 😁😁 “Mara ya mwisho kushuhudia wageni wengi na kupata hela nyingi ni wakati wa msiba wa Rais Magufuli”...
  8. JamiiForums Tanzania Siku niliyotaka kuitiwa mwizi wakati nafanya mazoezi

    Ni miaka mingi iliyopita wakati nachukua kozi ya unesi chuo cha Muhimbili. Hosteli zipo karibu na taasisi ya MoI. Sasa nyuma ya Hosteli kuna barabara ambayo nilikuwa naenda kukimbia muda wa jioni saa moja hivi. Na huko nyuma kuna sehemu watu wa MoI huweka mazaga yao kama vitanda vibovu nk...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dhati nalipongeza Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi kwa kudhibiti maadili wakati wa ibada

    Wakati fulani kwenye maisha yangu ya dhambi nilitokea kumpenda msichana aliyekuwa akiabudu kwenye kanisa moja la katoliki pale Msimbazi. Huyu binti alikuwa mkatoliki safi aliyenyooka. Ikawa ananisihi sana hata kama mimi sio mkatoliki niwe najiunga nae mara moja moja kwenye ibada kanisani kwao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwenye koo wakati wa kuongea

    Naisi maumivu nikiongea kooni. Ni hospital gani mzr ya koo au ni daktari gani mzr wa koo. Ni mwaka sasa naumwa huu ugonjwa! Naitaji msaada hata mwenye anajua dawa mzr ya asili aniambie.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  14. JamiiForums Tanzania Mikataba yote iliyovunjwa na kuingiwa makubaliano mapya na JPM, wawekezaji wataendelea kulipwa kwa sababu ni wakati wa ulaji kwa wanasheria wa serikal

    Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya! Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitambi hakuna vijijini wakati wamama na wanaume hula viporo?

    Vijijini hakuna wanawake wenye vitambi wala wanaume pamoja na kwamba wanakula viporo na lishe isiyo bora kama mjini. Je, watu wa town nao waishi kwa viporo na vyakula kama vijijini?
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati Sahihi wa Mabadiliko yenye tija katika Kilimo cha Mifugo kuelekea ufugaji wenye tija kwa jamii ya Kitanzania

    Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni 01. Utunzaji wa Mazingira 02. Afya za wanaadamu na 03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kubadili nembo ya Taifa. Ina vitu haramu katika nchi yetu

    Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
  20. JamiiForums Tanzania Ramani: ilivyokua wakati Urusi inaparamia, na ilivyo sasa Urusi inajitetea

    Ramani ya kushoto ni kipindi Urusi ilikua imeingiwa na mzuka wa balaa, na kujitutumua kuiparamia nchi ya watu, tulishuhudia mengi sana ikiwemo limsafara kuliwa na wabeba javelin, sasa Urusi imenywea ni hii hapa tunaiona ipo kwenye kujitetea au defensive, wanaendelea kurudishwa nyuma hatua kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…