wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuvimba uso wakati wa asubuhi

    Wandugu habari! Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa! Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu hii hali, kwa sasa Mzee yuko kijijini nategemea kumfuata weekend hii ili tuwaone watu wa...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Dkt. Slaa alitoa kauli ya kuipindua Serikali wakati wa mahojiano

    Salaam Ndugu zangu, katik pitapita zangu mitandaoni hasahasa kwenye mjadala unaomuhusu Dkt Slaa nimekuwa nikikutana na clip fupi ya Sekunde zipatazo 15 ikimuonesha anatamka kuhusu kupindua Serikali. Kwa namna Clip hiyo ilivyokatwa nashindwa kuelewa muktadha wa kauli hiyo. Naombeni mtusaidie...
  5. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

    Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
  6. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  7. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Akufukuzae Hakwambii Toka, Njia ngani nzuri ya kumwambia mtu sasa ni wakati wa yeye kwenda?

    Wakuu, Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake? Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango Na pia...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Afande Wambura soma kesi ya Machano vs Republic hapa chini ujiridhishe ni elements zipi zinaweza kufanya treason

    S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported). Criminal Law Treason – whether or not treason can be committed against the Revolutionary Government of Zanzibar. Treason – what are the elements of offence...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Filamu ya katuni ya Kichina “Chang An” yajizolea umaarufu mkubwa wakati Wachina wakiendelea kuwa na imani na tamadauni zao

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
  14. Jackal

    JamiiForums Tanzania Ole Wako Umuangushe Wakati Wa Kumkaba!

    Kim Jong Un. Stay informed. .....
  15. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Rais aache upendeleo! Simba mpaka imualike wakati yeye ndie anaialika Yanga Ikulu na kuipendekeza iwe timu ya kumsindikiza nje ya nchi

    Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ? Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakati Wazungu wakijiandaa kuihama dunia tupeleke vijana wetu wakachukue nafasi

    Bila shaka wazungu wako na mpango mkakati mkubwa sana yaani kuhama dunia na kuhamia sayari nyingine au kwenye "space" Hatuna budi sasa kuwaruhusu vijana wetu kuhamia marekani,uingereza ,uchina n.k kwenda kuchukua nafasi.
  17. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania BoT zifungeni Bureau de Change zilizofungwa wakati wa Hayati Magufuli

    Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara. Kwasasa watu...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

    Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote. Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi...
  19. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja: Kwa nini Dubai wanalazimisha mfumo wa mikataba unaojumuisha IGA na HGA wakati miradi yote itatekelezwa nchini Tanzania?

    Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni kitako cha piramidi; (2) Host Governmental Agreement(HGA) ; (3) Project-level Lease Agreement (PLA)...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
Back
Top Bottom