wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya makanisa yanaweka mabango kuwaasa waumini wavae kwa heshima wakati kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi?

    Huku ni kukosa mafunzo sahihi ya sheria ya mavazi kwa viongozi wetu wa makanisa ndio maana wanalazimika kuweka matangazo juu ya mavazi, sisi wakristo inajulikana wazi kwamba kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kuna haja ipi ya kuweka haya mabandiko ? uliona wapi misikitini wanaweka matangazo ya...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mwonekano wako unaweza kuwa na athari chanya au hasi wakati wa Usaili wa kazi

    Unapokwenda kwenye Usaili wa Kazi, Mwonekano wako wa mwanzoni tu, unaweza kuwa na athari kubwa wakati wa mahojiano. Na hiyo ni kwasababu tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Waajiri hufanya maamuzi kuhusu ajira ndani ya sekunde 30 za kwanza wanapokutana na mwombaji kazi. Hata kama Usaili si...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  5. JamiiForums Tanzania Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

    Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua. Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi morali ya wachezaji na mashabiki wa Simba ilivyokuwa wakati wa mechi dhidi ya Asec Mimosas ni dhahiri kwamba mambo hayako sawa.

    Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote. Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi morali ya wachezaji na mashabiki wa Simba ilivyokuwa wakati wa mechi dhidi ya Asec Mimosas ni dhahiri kwamba mambo hayako sawa

    Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote. Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa na...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wasabato wanakataza wanawake kufundisha ama kuwa wachungaji wakati wanatumia vitabu vya Hellen G White? Iweje nyama ikataliwe mchuzi unywe?

    Sababu ya kukataza. 1Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume (ibadani). Mwanamke anapaswa kukaa kimya. Wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu wanatumia mafundisho ya moja wa waanzilishi wa kanisa hilo Hellen...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Huyu kigogo anaetuhumiwa kufanya unyanyasaji, anaweza kujiondoa wakati wowote

    Kutegemeana na ukweli wa mambo, huyu mwanamama anaweza kushindwa kuhimili aibu na fedheha itayomkuta na hivyo anaweza kujiondoa wakati wowote ule kuanzia sasa. Ushauri: Ndugu na jamaa zake, hasa Mumewe kama ameolewa, wawe makini na nyendo zake kwani kwa sasa hawezi kuwa yuko normal kisaikilojia...
  11. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
  12. JamiiForums Tanzania Napoleon Bonaparte wa Ufaransa alitawala nchi ngapi?

    msaada wakuu, naomba kuuliza NAPOLEON BONAPARTE wa ufaransa alitawala nchi ngapi wakati wa utawala wake?
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange amtaka Mkandarasi wa Barabara ya Igwachanya - Itulahumba Kukamilisha kwa Wakati

    DKT. DUGANGE AMTAKA MKANDARASI WA BARABARA YA IGWACHANYA-ITULAHUMBA KUKAMILISHA KWA WAKATI NAIBU Waziri OR TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Igwachanya - Itulahumba yenye urefu wa kilometa 19.25 itakayogharimu Sh. Bilioni 9.86...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati wa kuhubiri au kufundisha kanisani zingatia sana yafuatayo

    1. Ujumbe ulionao uwe na kichwa cha Habari. 2. MAANDIKO utakayosoma yaendane na ujumbe, mahubiri au FUNDISHO unalofundisha MADHABAHUNI. 3. " Bwana Yesu Asifiwe ziwe CHACHE. 4. Kama Ulipanga KUFUNDIDHA dondoo, 7... Halafu ukaona mtiririko umekatika ukiwa pointi ya,4... sitisha KUHUBIRI au...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili yakumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu)
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili ya kumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu) NB: Nikipata na bei itakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kutana na kocha anayefundisha timu nne kwa wakati mmoja

    Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za Timu ya wanawake Tanzania Timu ya Under 21 wanawake Tazania Timu ya under 17 wanawake Tanzania Timu ya wanawake Tanzania bara
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuyaepuka sana wakati wa maombezi kwenye makongamano na semina

    πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ =================================================================================== Ujumbe Maalumu Kwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Maaskofu, na Waumini Vituo Vya Maombi na Maombezi Duniani; _______________________________________________________________________________ Ipo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye gambe hata yule hajaenda shule anaporomosha lugha ya malkia

    Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana. Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo.. Lakini msahiliwa huyuhuyu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…