Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa.
Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee.
Sasa ni...
Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote.
Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA"
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi.
Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi.
Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia.
tafadhali saidia utushauri.
Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji.
Ukizingatia kutupatia faida.
Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu.
Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi.
Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!!
Je familia zao wanazihudumia vipi?
Nipo na shosti hapa analalamika kuwa
Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha
Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea
Eti unamsaidiaje shosti wangu??
Wana jukwaa
Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza.
Dar inategemewa...
Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.
Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...
Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?
Huyo makonda wenu mtajuana wana...
Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali?
Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete?
Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa.
Tazama clip hizi hapa chini.
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958)
Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya mikutano ya TANU ya mwanzoni 1954/55
Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julkius Nyerere...
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel.
wote wanakubali existence ya Israel kitu ambacho Palestine hawakitambui na ni haram kwao. And I guess that is why they are fighting...
Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu.
Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha.
Sibezi uwezo wa nchi hizi isipokuwa ifike mahali tutafute exposure na uzoefu mpya toka sehemu...
Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa?
Nawashauri msipoteze kabisa muda...
Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji.
Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius.
Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi...
Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo.
============================
Washington/SeoulCNN —
The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.