wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati Sahihi wa Simba na Yanga Kuunganisha Silaha, Kupambana na Waarabu

    Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee. Sasa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

    Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi. Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mzuri wa kufanyana

    Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia. tafadhali saidia utushauri. Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji. Ukizingatia kutupatia faida.
  6. JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  7. JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  8. JamiiForums Tanzania MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  9. JamiiForums Tanzania Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

    Wana jukwaa Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza. Dar inategemewa...
  10. JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali bado imelala usingizi mzito wakati ajali inamaliza wananchi wake na kuwaachua ukilema mamia?

    Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali? Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
  12. JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete? Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa. Tazama clip hizi hapa chini.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  14. JamiiForums Tanzania Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati wa Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958)

    Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958) Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya mikutano ya TANU ya mwanzoni 1954/55 Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julkius Nyerere...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

    Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini. Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya. Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi? Ni hayo tu.
  16. JamiiForums Tanzania Wakati waki pretend neutrality, practically Urusi na China wapo pamoja na Israel. Somo kwa Afrika

    Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel. wote wanakubali existence ya Israel kitu ambacho Palestine hawakitambui na ni haram kwao. And I guess that is why they are fighting...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Wakati ni sasa TFF kuitafutia Stars inter-continental friendlies

    Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu. Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha. Sibezi uwezo wa nchi hizi isipokuwa ifike mahali tutafute exposure na uzoefu mpya toka sehemu...
  18. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kumuona mwana Simba SC akipoteza muda wake Kuiangalia Mechi ya Marafiki Wapuuzi na Wanafiki Jumapili wakati imeshakwisha Kitambo tu

    Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa? Nawashauri msipoteze kabisa muda...
  19. JamiiForums Tanzania TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi

    Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji. Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius. Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka meli ya pili ili kuhakikisha hakuna mtu atakayeingilia wakati Israel wanatembeza kichapo

    Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo. ============================ Washington/SeoulCNN — The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…