wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni tu Kujidanganya na Jeshi lenu kuwa ndiyo Bora wakati wenye Majeshi bora, imara na hatari Afrika wala hawajisifu ila Wanakubalika na Kazi yao

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wakati Benchika akiwasili niliandika Matola akiwa Simba na kocha wa Kizungu msahau ubingwa

    Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu. By the grace of god I shall win this battle x3. Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever. Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

    Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Jeshi la Zimamoto na Uokoaji! Kuna mtu kaliona wakati huu wa mafuriko?

    Mimi ningeteuliwa kuwa kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, jambo la kwanza ningeomba kibali cha kuunda vikosi maalum hata vinne, kwa ajili ya zimamoto na uokoaji wakati nchi inasubiri kuwa na kikosi nchi nzima, Rufiji haupo, Kilosa haupo. Ndio maana hata kwenye gwaride hamkuwepo leo siku...
  6. OlaryMoleli

    JamiiForums Tanzania Sera za Kitaifa za uwekezaji zimepitwa na wakati

    Kwa kutazama kwangu SERA za uwekezaji zimepitwa na wakati kwa sababu uhai wake hauonekani katika jamii ya Watanzania HASA wazawa. Aidha wananchi hawana uelewa wowote kuhusu Mambo ya uwekezaji kwani haziko CLEAR kwa wananchi ama haziendani na uhalisia wa TAIFA
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ukitenguliwa tulia, kila jambo lina wakati wake

    Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Wazazi wana haki ya kuzuia Watoto kwenda Shule nyakati za Mvua kubwa

    Wizara ya Elimu imezipongeza shule zilizochukua hatua ya kuwapumzisha wanafunzi wake kwa muda kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huku ikisema inaendelea kuwasiliana na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuona kama kuna umuhimu wakuchukua hatua zaidi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Aprili...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habari JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani inaendelea kuilenga kampuni ya TikTok, TikTok inaendelea kuwa maarufu barani Afrika

    Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya TikTok inahatarisha usalama wa Marekani na inaweza kutumiwa kufanya ushawishi kwenye uchaguzi wa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21. Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  13. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

    Yanga inapaswa kufikiria kuachana na Kennedy Musonda. Tokea aje hapa nchini, Musonda hajatoa kile kilichotegemewa kwa 100%. Ni mchezaji mzuri sana, lakini yapo yanayofikirisha juu yake. Musonda hana muendelezo mzuri. Ni michezo michache sana amecheza kwa kiwango cha juu, iliyosalia anakuwa wa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa habari wakati wa Magufuli ulikuwaje?

    Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively, 1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania? 2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari? 3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi. Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi

    Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi cha gadeni tena kipindi hiki cha mvua? Hali ya Barabara Africana njia ya kuanzia kwa "Kwa Barikiwe" kuelekea Kinzudi ni mbaya mamlaka zitusaidie hata kukwangua matope maana ni kero kwelikweli...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani. Au kanuni zimeshabadilika
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM unazungumzia kupoteza watu wakati sera za chama zimebadilika. Huyu aelemishwa 4R

    Nimesikiliza kauli za kijana wa UVCCM huko Kagera akizungumzia kupoteza watu kutokana na kumtukana Rais,na pia nimemsikiliza Dr Nchimbi akipinga kauli hiyo kwa nguvu,kwenye ziara zake. Kwa mawazo yangu inaonekana bado kuna watu wana mawazo na mitizamo ya mifumo na sera ya awamu ya 5. Naomba...
  20. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dubai inaagiza mchanga Australia wakati upo kwa wingi kwao

    Dubai ni moja ya miji mikubwa duniani yenye majengo marefu na ya kuvutia. Ukuaji wake wa haraka umehusishwa sana na sekta ya ujenzi na maendeleo ya miundombinu. Kuanzia majengo ya kipekee kama Burj Khalifa, jengo refu zaidi duniani, hadi visiwa bandia kama Palm Jumeirah, Dubai imekuwa...
Back
Top Bottom