wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wanaingilia misuguano ya kisiasa kila wakati nini maana ya kuwa na vyama vingi?

    Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa. Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini? Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
  2. Aare Maduhu Kopano

    JamiiForums Tanzania Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

    A- Wakili. B- A surveyor. C-A land Valuer. D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wamarekani ni wanafiki, waliinyima Uganda misaada kukataa ushoga wakati nao hawaupendi

    Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina. Harris alijifanya...
  5. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakati sahihi makabila ya nyanda za juu kusini tunahitaji heshima yetu

    KINGABOY on the wheel.
  6. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida

    Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida 😄 🤣 😂
  8. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Spain: Idadi ya vifo yapindukia 200 Wakati Timu Za Uokoaji Zikitafuta Watu Waliotoweka

    Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la hali ya hewa barani Ulaya katika miongo mitano. Mjini Valencia, eneo la mashariki ambalo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nawasisitiza walezi na wanafunzi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati, kuanza chuo baada ya form 4 ni maamuzi sahihi na hupanua zaidi goli la ajira

    moved jukwaa la elimu
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mtaa – Nyamanoro (Mwanza) ni mateso kwetu au viongozi wanasubiri watumie kama ahadi wakati wa Kampeni?

    Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu. Barabara mbovu zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hizo kwa muda mrefu sasa bila...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kufanya mapenzi na wanawake wengi tofauti wakati wanawake ni kinyume chake?

    Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache? Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Bibi harusi anguka ghafla na kuaga Dunia wakati sherehe za harusi zikiendelea

    Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon ========= Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kuwa Iran na Israel Kuna Wakati Walikuwa Marafiki Wakubwa?

    Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo, umepotea kabisa. Kabla ya mwaka 1979, Iran ilikuwa mnunuzi mkubwa wa silaha toka Israel (Before the...
Back
Top Bottom