wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania "Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka Mwanawe, wakati wa uhai wake"

    Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
  2. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  6. Tulibhalega

    JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida battery kupiga kelele wakati inachaji?

    Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani Lissu alipoanza kuwa liability kwenye chama cha CHADEMA?

    Kuna mijadala mingi imeshika kasi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA hususan nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti, kuna kambi kuu mbili ya mwenyekiti anayeenda kutetea uenyekiti wake mwamba Freeman Mbowe na ya makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu anayegombea uenyekiti safari hii. Kwanza nadhani...
  8. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye wakati mgumu

    Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan ananikubali sana anatak nipite na yeye sasa hapa geto kwangu jamaaa huwa anapajuaa na anakuja sana...
  9. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

    Salamu wakuu, Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri. Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana masikini na unaejitafuta Kama mimi acha kabisa kusoma huu uzi, kwa sababu wewe ndoa haikufai, tena kaa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Malipo ya fedha za kukodisha chopa wakati wa kampeni yaliyolipwa kwa Mbowe yalimduwaza Lissu!

    Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!. Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tujivue gamba ni wakati sahihi

    Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka.. Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale wanapojihisi wameanza kuzeeka na kuanza kupoteza nguvu ya kuishi kupitia mapambano ya maisha. Mchakato...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Lissu

    Ilikuwepo Manchester united Ilikuwepo Barcelona Ilikuwepo Brazil Hizi ktk soka zikivuma lkn hivi sasa hazivumi tena. Kisiasa Huu ndio wakati wa Lissu kufifia kabisa ktk siasa. Baada yauchaguzi kwisha na Lissu kushindwa vibaya ndio mwisho wa siasa zake za umachachari. Hakuna jukwaa la kisiasa...
  15. vnn

    JamiiForums Tanzania Matokeo yoyote ya Uwenyekiti CHADEMA, Hayatamnufaisha Mbowe, ni wakati sahihi wa yeye kujitoa kulinda heshima yake!

    Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe, Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunaongoza kwa kujifanya tunajua mambo mengi wakati hata utafiti kidogo kwenye hayo mambo hatujafanya; mtu kaambiwa tu ishakuwa kweli!

    Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari juu ya ukweli au mantiki ya kile kinachosemwa. Mara kwa mara hukutana na watu wanaoamini mambo ya...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

    Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha! Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Kuwapima Mameneja kwa Uwezo wa Kutatua Changamoto Wakati wa Dharura

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema atawapima mameneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS ), kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura ili kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika wakati wote. Ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa wilaya za Handeni na...
  19. majam19

    JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu kwenye mahusiano

    Nianze Kwa kumshukuru mungu Kwa kutupa afya na kherii tele. Mimi ni kijana mwenye umri26 Kuna Binti nilikua na urafiki wa mda mrefu sana hata zaidi ya mwaka na nusu tulikua tunasaidiane kwenye changamoto za hapa na pale na kama unavyojua ukaribu uleta upendo. Basi moyo wangu ukamlizia Kwa roho...
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
Back
Top Bottom