Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
UTAPELI WA ITIKADI KALI:
IRAN YA UKWELI:
Majenerali chali
Nyuklia chali
Mifumo ya kifedha chali
Mitambo ya silaha chali
Wanasayansi wa nyuklia chali
Trust ya wananchi chalii
Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao...
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.
Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.
Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.
Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says
By Reuters and ToI Staff
Today, 7:30 am
Share
1
Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports.
Iran has executed a number of...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea kujibu".
Araghchi alisema Israel lazima isitishe mapigano ifikapo 04:00 saa za eneo, ambayo imepita...
Habarini,
Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani.
Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi.
Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658.
Nchi ni:
1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623
2. Lebanon 5,848,354
3. Iran 92,417,681.
Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978.
Yaani ni sawa...
Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi.
je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya kula inanishinda hali hiyo itaendelea hadi miezi ya mbele kidogo ndio inaanza kupotea na kuwa na...
Katika dunia hii yenye vita visivyokoma, taifa la Israeli linaonekana liko juu sana kwa hekima, umakini, na maandalizi ya hali ya juu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu. Hili ni taifa dogo kijiografia, lakini lina hazina kubwa ya maarifa, ujasiri, na ubunifu wa hali ya juu. Unapoyaangalia...
Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral...
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao.
Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
Sisi tunaishi katika dunia yetu.
Mpaka leo ligi haijaisha😂
Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao.
EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza.
Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana.
Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
Heshima yenu wakubwa.
Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport?
Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye...
I salute kinsmen
Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga .
Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu.
Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi?
Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.