wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi haya kuhusiana na uchaguzi mdogo huko Zanzibar, Makamu wa Raisi Zanzibar kutoka ACT-Wazalenido kujiuzulu wakati wowote?

    Haya kumekucha huko Zanzibar
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ndugai na wabunge wote warudishe posho walizolipwa wakati wanapitisha TOZO

    Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho. Ndugai aliwatisha wabunge kwamba wasipopitisha bajeti rais atalivunja bunge. Aondoke! Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aagiza kurejeshwa kwa fedha zilizochukuliwa na Wizara ya Fedha wakati akiwa Waziri

    Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais. Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana hakukubaliana nalo bali Msuli wake ulikuwa Mdogo. Sasa najiuliza kuwa Bunge la Bajeti limeshapita, Sasa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kila Graduate anatakiwa kusema "NO" Wakati Huu

    Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu. Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kila Graduate Anatakiwa Kusema "NO" Wakati Huu

    Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu, Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...
  6. JamiiForums Tanzania Madalali mnachelewesha biashara za watu

    Jamani nyinyi mnaojiita MADALALI naomba angalieni uwezekano wa kubadili jinsi ya ufanyaji kazi WENU, mnachelewesha Sana biashara kwasababu ya kuweka chajuu kikubwa na WAKATI mwingine mteja akifika Bei ya mwenye BIDHAA hamsababishi wauziane...nawaomba CHUKUENI Asante KUTOKA kwa muuzaji na mnunuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Habari Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu. Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili. Asanteni sana
  9. JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

    Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu. Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
  10. JamiiForums Tanzania KARMA: Tulishangilia wakati wengine wanalazimishwa kulipa kodi za dhuluma, sasa yameturudia inabidi tushangilie

    Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi. "Wanyonge" walishangilia kwa vifijo, miluzi na tarumbeta. Hawakujua nao yangekuja kuwatokea. Hivi sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  12. JamiiForums Tanzania PIC Makubi chunguza kitengo cha COVID 19 JNIA, wasafiri wanalazimishwa kulipia tena wakati washachanjwa

    Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid. Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana wasafiri kwa kuwalazimisha kutoa hela ingawa wengi wakishatoa wanapitiliza nje. Nashauri wenye kuwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Huu sio wakati mwafaka kwa Ulaya kulegeza hatua za kupambana na COVID-19

    Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya kurudisha hali ya kawaida, bila hata kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa afya. Hali hii...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

    Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
  16. JamiiForums Tanzania Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

    Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua. Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua. Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri. Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti...
  17. JamiiForums Tanzania Je, tendo la ndoa linafaa wakati gani?

    Salaam wana jukwaa. Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama Waafrika au Watanzania zinasemaje? Haya mambo ya kutikisa kabla ya kutumia huko mbeleni kutakuwa na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba zenye choo cha shimo, choo cha nje zimepitwa na wakati

    Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki. Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inakimbilia nyasi bandia wakati nchi zilizoendela zimekataa kuzitumia viwanjani

    Wasalaam, Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

    Binafsi huwa simuelewi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…