Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.
Ndugai aliwatisha wabunge kwamba wasipopitisha bajeti rais atalivunja bunge. Aondoke!
Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana...
Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais.
Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana hakukubaliana nalo bali Msuli wake ulikuwa Mdogo.
Sasa najiuliza kuwa Bunge la Bajeti limeshapita, Sasa...
Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu. Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...
Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu, Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...
Jamani nyinyi mnaojiita MADALALI naomba angalieni uwezekano wa kubadili jinsi ya ufanyaji kazi WENU, mnachelewesha Sana biashara kwasababu ya kuweka chajuu kikubwa na WAKATI mwingine mteja akifika Bei ya mwenye BIDHAA hamsababishi wauziane...nawaomba CHUKUENI Asante KUTOKA kwa muuzaji na mnunuzi...
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja...
Habari
Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu.
Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili.
Asanteni sana
Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu.
Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi.
"Wanyonge" walishangilia kwa vifijo, miluzi na tarumbeta. Hawakujua nao yangekuja kuwatokea.
Hivi sasa...
MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI
1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako.
2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid.
Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana wasafiri kwa kuwalazimisha kutoa hela ingawa wengi wakishatoa wanapitiliza nje.
Nashauri wenye kuwa...
Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya kurudisha hali ya kawaida, bila hata kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa afya. Hali hii...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua.
Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua.
Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri.
Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti...
Salaam wana jukwaa.
Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama Waafrika au Watanzania zinasemaje?
Haya mambo ya kutikisa kabla ya kutumia huko mbeleni kutakuwa na...
Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.
Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi...
Wasalaam,
Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake.
Vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.