KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
=================
TAARIFA HII IMEKANUSHWA
DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI
Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?.
Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa...
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuwasilisha tangazo lilitolewa na Wizara ya Afya Tanzania kuhusiana na hizi ajira 1650 zilizotangazwa wiki iliyopita, kuna thread nikiiweka inayosema kuwa Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu.
Mapungufu yaliyopo kwenye tangazo walilolitoa...
Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala.
Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi na wale wanaoshutumiwa kuiba mali za umma kwa mgongo wa CcM wakafungwa basi kuna baadhi ya wanaCCM...
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
Kwa...
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.
Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.
Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi...
KUNA HAJA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NA WAHUBIRI KUACHA MASUALA YA KUTAKIANA MABAYA.
Huwa nafuatilia kwa karibu sana nyimbo nyingi za Injili hususani za miaka ya karibuni pamoja na mahubiri ya kizazi cha zama zetu za sasa. Nimeweza kubaini kuwa kuna Injili ya aina ya ajabu sana inayosukumwa...
Muhali gani waungwana.
Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala.
Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/
Vyeti vikaletwa
Mpaka vyeti kutoka nchi za...
Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi.
Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha ya tuhuma kuvurumushwa kila kona.
Nakumbuka rais Magufuli alilazimika kujibu tuhuma zile kibabe...
Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?
Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo...
Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri.
Amesema mwanasiasa mzuri ni yule anayepambana muda husika, kujipanga mapema sio sahihi kwa kuwa huwezi jua ya kesho...
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar.
Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais...
Salaam wakuu,
Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana?
Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu.
Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke.
Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba.
Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.