Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema
Hoooo! Mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati, hivyo imechoka kabisa, nahitaji mnipe siku kumi zikarabatiwe!
Kutoka...
Anaandika, Robert Heriel
Maisha ni mchezo wa maswali na majibu.
Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu.
Vijana bado...
Kwa heshima na taadhima naomba huyu Mheshimiwa ajitokeze hadharani kuwaomba mashabiki msamaha kwa kuwaita mbumbumbu wakati alipokuwa kiongozi mkubwa tu wa Simba Sports Club.
Ni vizuri akalifanya jambo hili wakati bado akiwa hai. Hata kama alighadhabika kiasi gani, bado hakutakiwa kuwaita...
Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni.
Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi
Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
Kutokana na makosa mengi yaliyotokea au yaliyofanywa na makarani wa sensa juu ya uhesabuji hasa vyumba katika majumba ya watu, maana katika majumba mengi huku mitaani waweza kuta nyumba ina vyumba pengine kumi lakini vingine ni stoo, vyumba vya walinzi, vyumba vya madawa ya mifugo na pengine...
Naomba wataalamu watuambie ni vyakula gani mwanamke anaweza kula akaongeza damu haraka wakati wa ujauzito au ni dawa gani zinazoweza kumfaa kuongeza kiwango cha damu naomba jibu wataalamu.
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna...
Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa.
Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
Katika lile tukio lililoshtua ulimwengu,
katika tasnia ya ajira tuliona wengi kupunguzwa makazini.
Binafsi nilijifunza kuchapa kazi mno Kuna tija mno maana kusimamishwa inamaanisha Kuna watu wanaweza fanya ata wewe usipokuwepo kuhusu saving hapo nilijifunza ni Jambo la msingi mno.
Karibu...
Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba.
Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa kuitumia......
The VAMPIRE system can fit in almost any pickup or vehicle with a cargo bed. (Courtesy of...
Walisema waungwana ukiona vyaelea vimeundwa.
Siyo siri wenzetu Zenji wako vizuri na katika njia yao salama ya ukombozi iliyo wazi:
"Zanzibar wanataka mamlaka yao kamili na wamejipanga kwa ajili ya hilo."
Kwenye mapambano yao wanapigana bega kwa bega na bila ya tashwishi.
Sisi hatukujifunza...
Ikiwa mbinguni/peponi wanaingia watakatifu! Tujiulize swali hili kuwa mtu atakwendaje mbinguni wakati anaishi dunia iliyojawa na dhambi?
Tunatumia vitu vingi vinavyopatikana kwa njia zisizo sawa kama watu wa imani wanavyodai.
Inawezekana mtu akajihisi anatenda mema na ni mchamungu lakini...
Iliaminika kuwa bara la Afrika lipo nyuma katika kila kitu. Dhana ambayo hadi hii leo bado inatumikakulididimiza bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Kipindi cha ukoloni karne ya 19 hadi 20 africa ilitawaliwa na wazungu. Swali amabalo najiuliza kwa nini babu zetu hawakukata?. kwa nini...
Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills
London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi.
Kelele zilikuwa nyingi baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.