wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Dini zimetutengenezea wananchi wajinga na wanasiasa majambazi. Ambao wamekuwa watawala wa ovyo kupita washenzi

    Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji. Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho nimeonyeshwa na mababu zangu walio tangulia Aridhini. Nimekaa nikaongea nao nikiwa peke yangu . Maongezi...
  2. The Palm Beach

    Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.." Mithali 22:3 SUV

    Ni andiko kutoka katika Biblia takatifu - Neno la Mungu [kwa Wakristo] ambalo ndilo lililobeba maudhui yote ya ujumbe wa Askofu Josephat Gwajima leo ktk PC yake.. Huu ni Upanga wa Roho uliokata na kucharanga kila kilicho cha mwana yule wa kuasi na wafuasi wake... Acha wajinga wachache...
  3. Gobole Lenye Risasi

    Simba hamwezi enda mfunga Mwarabu Zanzibar. Hilo Msahau kabisa. Wao si wajinga kupeleka match kule

    Asilimia zaidi ya 80 wanataka Mwarabu ashinde dhidi ya huyu mtu mweusi. Mnajidanganya mtamfunga Mwarabu Zanzibar. Thubutuuuuuuuuuuuuu. Ndani yenu wenyewe ya Simba kuna watu wanatamani Mwarabu ashinde. Si kwa sababu ya Yanga. Ila ni sababu ni team ya mabwana. Na sisi ni Watwana. Ipo hivyo...
  4. Deinstein 01

    Sababu inayotufanya tuendelee kuwa wajinga

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako. Watu wengi hawapendi kuoneshwa mapungufu yao ila ni rahisi sana wao kutambua mapungufu ya wengine lakini ya kwao...
  5. K

    Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

    Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga. Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje. Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
  6. R

    Angalia WATAWALA wanavyo wa rate /waChukulia watanzania KUWA NI WAJINGA.

  7. Zanzibar-ASP

    Dakika za majeruhi (nyongeza) kwenye soka ni usanii kwa 100%, wapenda soka wote mmefanywa wajinga kabisa.

    Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea. Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao. Hakuna mtu...
  8. C

    Kesi ya CAS: Wajinga ndio waliwao

    Ukiwa mjini utashangaa kuna kazi nyingi ili ziendelee zinategemea ujinga wa watu. Kwenye lile suala la klabu moja inayoendeshwa kwa propaganda na milungura ya kutosha kununua mechi kwa njia ya kuhujumu kushirikiana na kampuni moja la betting,waliingia kwenye 18 za mawakili wasomi wakaweka pesa...
  9. ngara23

    Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
  10. D

    Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  11. M

    Lema Watanzania sio Wajinga

    Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate. Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa...
  12. M

    Nimegundua Kizazi cha sasa kimejaa wajinga kuliko Babu zetu- Shikamoo TAL

    Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
  13. Yoda

    Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

    Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye...
  14. DogoWaNjombe

    Askofu Gwajima: Silaha kubwa ya Wajinga ni kujipendekeza, umenielewa?

    https://www.youtube.com/watch?v=ewCmyEF74AE
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

    Hamjambo Wote! Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia. Kwenye Mada. Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa. Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
  16. D

    Je, wajua kwanini mwaka mpya huwa ni tarehe 1 january na siku ya wajinga ni tarehe 1 Aprili?

    Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari. Kuna watu hawakukubaliana...
  17. Mshana Jr

    Leo ni siku ya wajinga duniani

    Leo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi... Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. 🤪
  18. Setfree

    Tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga au ya waongo?

    Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi. Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
  19. R

    Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

    Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua! Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
Back
Top Bottom