wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga. Tumefika wakati hata watu wenye akili zao wanajifanya wajinga ili wapande vyeo maana huu utaratibu wa udikteta mchara tulio nao huwezi kuwa na akili ukapendwa. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi na CEO kama...
  2. Moto wa volcano

    Wanaojipa vyeo vya Mitume/ Nabii wote ni wahuni ni basi tu Afrika wajinga ni wengi kuliko werevu

    https://www.instagram.com/reel/DfbhYq0NVs4/?exln=MTN1MXlqdnk4YzhiaQ==
  3. BICHWA KOMWE -

    Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

    Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo. Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
  4. Zack Abdul

    Mnyika, hakuna watanzania wajinga watakaogoma kula

    Jana Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akizungumza na vyombo vya habari, ametoa wito kwa watanzania kugoma kula lengo likiwa kumuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kuna maswali ambayo yanastahili kuulizwa pale viongozi wa kisiasa wanapotoa wito kwa wananchi kuchukua hatua za...
  5. Carlos The Jackal

    Kwanini watu wajinga wàjinga hutumia Fedha na Mali zao kujibu Hoja zinazoelekezwa dhidi yao?

    Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake. Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara . Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo Ama aandike au arekodi video...
  6. idiomer

    Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  7. Yoda

    Dotto Magari ataweza kupambana kwa muda gani na Dudubaya na wajinga walio nyuma yake?

    Dotto Magari pamoja na kuwa mtu mjinga na chawa mkubwa wa CCM na Samia ila katika suala la ushoga ana msimamo sahihi kwa 99% kuliko Watanzania wengi hata wale wenye digrii tatu. Tatizo upande wa Dudubaya ndio una watu wengi Tanzania ukiwaunganisha hadi CHADEMA na CCM, watawala na watawaliwa...
  8. Carlos The Jackal

    Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri

    Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri. Dada wa Msuya akauliwa, J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa. Super Sami aliuwawa, Wakafungwa na kuhukumiwa Kunyongwa, Leo Wameachiwa Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo...
  9. fact only

    Watanzania wengi ni wajinga sana.

    Hellow wana JF. Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana. Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka...
  10. Carlos The Jackal

    CCP ya China, ingekaliwa na watu wajinga wàjinga Vilaza, China ingekua kama Tanzania ya Leo !!.

    Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina". Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono yake na yakafanyika kweli??. Kamati imejaa watu mbumbumbu, Et Chatanda ?? Wasira, Samia, Kawaida... ...
  11. Yoda

    Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa. Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu...
  12. U

    Serikali na Samia sio Wajinga kukubali kushindwa kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu zifuatazo

    Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu; 1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga. #Mahakama za bongo hazina...
  13. Manyanza

    Tusiogope kuonekana Wajinga pale tunapojenga ndoto zetu

    Vijana wengi tuna ndoto kubwa, lakini tatizo si kukosa uwezo wa kuzitimiza. Tatizo ni kuogopa maoni ya watu. Unaweza kuwa na wazo zuri, lakini ukianza kulieleza watu wakakucheka. Unaweza kuanza biashara ndogo, watu wakakuona huna direction. Unaweza kujaribu jambo jipya na ukashindwa, watu...
  14. K

    Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

    Kikwete family yake, Samia family yake wameweza kututeka, kubaka watu na kuiba pesa kwasababu ya ujinga wa wananchi.
  15. Aelknes

    Watanzania hatujalogwa sisi ni wajinga

    Nimekuja kugundua tatizo letu kubwa sisi kama taifa ni ujinga.. Wakati mataifa mengine yakijikuza kiteknolojia/maarifa/ujuzi kuendana na dunia ya sasa sisi tunafanya juhudi gani kama taifa? Ni kama kila siku tunazidi kurudi nyuma hatujui tunapoelekea Vijana wanakesha mtandaoni hawana cha maana...
  16. SankaraBoukaka

    Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  17. L

    Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao. Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi...
  18. min -me

    Vijana nyie wajinga sana

    Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Nawakumbusha siku zote Dua la kuku halimpati Mwewe. Msiwe wajinga

    Hamjambo! Kuna sisi nilikuwa nataka kuwapa watu fulani hivi. Ila nimezuiwa na wahenga. Nimeambiwa mara nyingi natoa codes fulani ingawaje vichwa panzi wamekuwa wagumu kuzipata frequencies zangu ili kung'amua codes hizo. Leo sina maneno mengi. Nitawarejelea wahenga wakisema DUA LA KUKU DAIMA...
  20. McLaren

    Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko...
Back
Top Bottom