wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CCM ni chama cha kisultani. Walalahoi wasio na mbele au nyuma wanaokishabikia ni wajinga. Watoto wa viongozi wa CCM wanarithishwa madaraka kisultani

    Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM. Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii. Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
  2. Wanaume wajinga huwaruhusu wake zao kupakwa rangi kucha zao. Ni ajabu!

    Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake. Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani. Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆‍♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
  3. Wakazi wa Morogoro msaada: Huko mvua zinanyesha au DAWASA wanatugeuza wajinga?

    Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini. Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
  4. Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  5. RC Serikali na wananchi sio wajinga kiasi hicho mnachodhani

    Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati. Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na...
  6. Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

    Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa...
  7. Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  8. Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  9. Nchi haiwezi kukombolewa na watu wajinga!

    Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana Najiuliza na nacheka Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!? Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu waliojikatia tamaa na wajinga mtakuja kupata shida ya Akili Yule Mange kilaza aliyevujisha video ya prof...
  10. PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

    Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
  11. Hotuba za Mwigulu; Hivi ni kweli Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
  12. Je tunazidi kuwa Wajinga - The Rise of Homo Idioticus: Are We Getting More Stupid?

    Hii ni article ya Cezary Pietrasik; Nachelea kusema ni kweli kuna rise of Mass Stupidity na Decline of Critical Thinking inayosababishwa na information overload hivyo watu kuacha kutumia muda wa kuchambua mambo badala yake kuachia wengine wawaze kwa niaba yao. Article by Cezary Pietrasik: Key...
  13. Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  14. Naona muelekeo mbaya sana juu ya mustakabari wa taifa letu. Bado WanaCCM wanaona raia ni wajinga na Mbumbumbu

    Kwamba kuna mataifa ya jirani tena ndani ya jumuia ya Afrika Mashariki yanaonea wivu rasilimali za taifa letu. Makaa ya mawe, chuma cha Liganga na Mchuchuma, Bandari ya Dar es salaam na Gasi ya Mtwara. Ndio maana haya mataifa ya jirani yakawachochea wananchi kuingia barabarani kabla hata...
  15. PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

    Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii. Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka...
  16. Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

    Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini? Uislamu ni dini ya HAKI. Uislamu ni dini ya...
  17. C

    PostGE2025 watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao

    Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na uislam wala sio hoja ya wananchi. Hoja ya wananchi ni utekaji ukome, mauaji yakome, na wizi na...
  18. PostGE2025 D9 ni nzito imetafutwa propaganda ya Udini kuwahadaa Wajinga

    GT Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers. Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea...
  19. Wanaosisitiza amani zaidi badala ya HAKI ni wajinga au wanufuika wa mfumo kandamizi. Haki ikitamalaki amani inakuwepo automatically

    Ukiacha vichwa panzi wachache na mapoyoyo wa hali ya chini na wale wenye maisha duni wanaoimbishwa wimbo wa amani bila haki na wanaimba kwa sababu ya ukosefu wa maarifa, taarifa sahihi au udini wengine wote wanaoimba zaidi amani badala ya kuimba zaidi haki ni wanufaika wa mfumo ulioondoa...
  20. Kwa utafiti usio rasmi nimegundua kuwa Watanzania ndio wajinga nambari 1 duniani

    Kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri au kipimo cha kupima ujinga wa mtu kichwani ni kuangalia jinsi anavyoweza kuchambua jambo analoambiwa au kusikia. Chukua simu zako mbili moja ivike uhusika mwingine, huyo mtu awe maarufu fanya kama unachati naye huyo mtu chukua screen shot weka mitandaoni. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…