wahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul kalaam

    Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

    Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao. 1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius) 2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo. 3. Walalamishi mno...
  2. Mwanamwana

    Dhambi ya Ubaguzi: Wafanyakazi the Guardian walalamika Wahindi kununuliana magari huku wafanyakazi wakilazimishwa kuwa vibarua

    WAFANYAKAZI wa The Guardian ambao baadhi hawajalipwa mshahara wa mwezi wa tano kutokana na matatizo ya kibiashara wameshangazwa na hatua ya meneja mkuu, bwana Srinivas Chintaluri kumnunulia gari ndugu yake Bw Balaji Balasubramaniyan ambaye ni Mkurugenzi wa Teknohama aina ya Toyota Sienta lenye...
  3. M

    Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  4. FRANCIS DA DON

    Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

    Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje? Watumwa ndani ya...
Back
Top Bottom