wahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    Huwezi kuta wahindi ugenini na wakataka kupindua njia ya maisha iliokuwa imezoeleka pale ila waarabu wanaweza chukuliwa kwa msaada kinachofata ni fujo

    Wahindi wametapakaa duniani kote na wamerithishana njia za kuitana mahali ambapo pana manufaa kwa maendeleo yao. Licha ya madhaifu mengine hawa jamaa ni watu ambao wana jali mambo yao, wako private na imani yao lakini zaidi hawasumbui watu na imani zao wanapokuwa ugenini Ila waarabu ni watu wa...
  2. S

    Watanzania lazima watambue serikali haijali haki za wazawa na wawekezaji hasa Wachina, Waarabu na Wahindi wasipofuata haki hawachukuliwi hatua yeyote

    Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
  3. RRONDO

    Eti Wahindi Hawajengi....

    Kuna watu wanapenda kubeza ujenzi wa nyumba na kichaka chao utasikia mbona wahindi hawajengi. Sijui nani aliwadanganya kuwa Wahindi hawajengi wakati ndio wanaongoza kumiliki nyumba Masaki na Upanga. Haya msikieni kijana wa Kihindi mtaalam wa real estate anazungumzia kuhusu kujenga nyumba...
  4. F

    Hivi kwanini wahindi wakipeana salamu lazima watikise kichwa?

    Hivi kwanini wahindi wakiwa wanasalimiana lazima watikise kichwa kwa nguvu? Wanaashiria nini?
  5. M

    Ni tamaa za wahindi walioanza kuwa ceo wa makampuni ya tech au? kwanini sikuhizi software nyingi unalipia kila mwezi au mwaka badala ya moja kwa moja?

    Hapo zamani softwares nyingi zilikuwa za kulipia moja kwa moja, sikuhizi ni monthly / Annual. Na ukiangalia makampuni mengi sikuhizi ya Tech, Ma Ceo ni wahindi
  6. N

    Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  7. Ponjoro namba moja

    Kwanini, nauliza kwanini wahindi hawapewi nafasi kugombea Urais?

    Bana sikiliza. Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila! Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii? Ze Ponjoro
  8. O

    Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  9. M

    Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  10. Dogoli kinyamkela

    KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi

    KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️ Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi. Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na kuvuna". Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna". Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
  11. M

    Kwanini kwenye maslahi hata waarabu, wahindi, waafrika, n.k. hupenda kwenda kufanya kazi kwa wazungu hata kama ni dini tofauti ?

    Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu. Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
  12. Eli Cohen

    Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  13. Fbn

    Kama umesoma masomo ya sayansi na teknolojia movie za wahindi huwezi kuwa mpenzi nazo

    Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM. Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso. Sasa hawa watu wa asia mnawezaje kuangalia masinema yao yani stering kafa mwanzo wa sinema alafu mbwa na...
  14. matunduizi

    Kwa nini Wachina na Wahindi hawasambazi dini KWA bidii kama Waarabu

    Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu. Sababu ni nini?
  15. W

    Pakistan na India waliishia wapi, kwanini wahindi wamekasirika Modi kukubali amani kwa ceasefire ?

    Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
  16. Kinyungu

    Kwanini Watanzania wazawa hawaanzishi viwanda vikubwa vya uzalishaji kama Wahindi, Waarabu na Wazungu?

    Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye mantiki ya kijamii, kiuchumi na kihistoria. Swali hili la muhimu linatokana na ukweli kwamba wanaoshikilia...
  17. Half american

    Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  18. S

    Tumetoka Ukraine tukahamishiwa Palestina, sasa tunaelekea kwa Wahindi - TAHADHARI

    Mkiona hawa wazungu wanajidai kuingia siasa za ndani, sio kwamba wanatupenda wanatafuta mtaji wa kupata au kuongeza nchi katika kundi lao na baadae watumie kundi hilo kuwepo mstari wa mbele vita ikianza. Hawa wanaokuja kusema asinyongwe mtu kwani nani aliwaambia kuna mtu atanyongwa ,akili...
  19. M

    Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

    Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo, Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa...
  20. J

    Wahindi na warabu ndio wanao ilea CCM

    Watanzania amkeni hivi mnajuwa kwanini wahindi na warabu huwezi kuwaona wakishiriki kwenye harakati za kudai haki? Mwaka 1995 moja ya sababu mrema kuungwa mkono ni kwasababu alisema wahindi ndio wameshikiria serikali ya ccm chini ya mwinyi. Na kweli wahindi walifanya kila njia k. Kuhakikisha...
Back
Top Bottom