waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kwa nini waislam wamekaa kimya tu hawalalamiki huku waganga wa kienyeji wanatumia QURAN kwenye ushirikina tena live mitandaoni? Why hawaitetei Quran

    Habari wadau. Nimeona waganga wa kienyeji kadhaa mtandaoni wakiwa na kitabu cha QURAN kwenye ungo na kuweka pia ka mzimu ka kitapeli kanachozunguka kujifanya kana nguvu za kichawi. Wanatafuta wateja mitandaoni na kuwasomea nyota ili kuwatapeli. Kitu kinachonishangaza sioni waislam...
  2. Kwanini siku hizi idadi ya wanaume wanaoenda kanisani imepungua sana? Na idadi ya wanawake kwa waganga imeongezeka sana?

    Huu ni ukweli usio na pingamizi, wanawake wamekuwa washirikina sana hadi inasikitisha. Na wanaume wamekuwa wapagani sana hadi inaogopesha
  3. Unajiitaje mtoto wa mjini (born town ) na huna mganga wa uhakika au huwajui waganga?

    Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake . Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na hujui namna ya kuipangua maana si kila kesi utaweza kutumia pesa kuizima, kesi zingine zinahitaji...
  4. Madhara ya kwenda kutafuta utajiri kwa waganga

    Niaje wakuu, haya ni baadhi ya madhara utakayopata ukienda kutafuta utajiri kwa mganga. Utapeli wa kifedha; Waganga wengi feki hutumia saikolojia ya hofu na tamaa kuwaibia watu kiasi kikubwa cha fedha kwa kisingizio cha "kusafisha nyota" au "kununua vifaa vya mizimu,sadaka Masharti magumu na...
  5. Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  6. Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  7. Hivi kikatiba Malaika, Mungu, shetani na waganga wanatumbulika

    Nimeona Rais wa Kenya anasema hata asipo shinda ataongezewa kura na malaika hapa kwetu imekaaje
  8. Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  9. Waganga wa jadi wanaoiba nyota za watu hua wanafanyia nini?

    Nyota yako mafanikio yako niliwahi kusikia pahala Hawa waganga wezi wa nyota za watu hua wanazifanyia nini haswa? Unakuta kijana anafanya mambo hayaendi kumbe wamepita nayo wajanja mbaya zaidi ukienda huko wanakueleza nyota yako haipo ukiwambia nielekeze huyo mtu aliechukua nyota yangu...
  10. K

    Waganga wa Kinyeji Simiyu Tumechoka na michango ya Mwenge

    Ndugu wana jukwaa, Leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi waganga wa Tiba asili au waganga wa Kinyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima Kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena Kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao. Kila Mwaka...
  11. K

    KERO Waganga wa Kienyeji Simiyu tumechoka na michango ya Mwenge

    Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao. Kila Mwaka...
  12. Waganga wa kienyeji jihadharini

    Nilikuwa mmoja wenu nikafika level za juu.. Haikuwa rahisi nilikwepa mitego mingi na kuzishinda changamoto nyingi Kuna jambo jipya kiasi linajiinua kwa kasi ya ajabu.. Mnahusishwa na mauaji yanayoendelea nchini.. Je mnahusika kweli? Je mnageuzwa mbuzi wa kafara? Mauaji ya Katibuni 1. Yule...
  13. Wanaume mnaopeleka wake zenu kwa waganga wanawazunguka wanaendakuwatengeneza ninyi muwe marofa

    Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane nacho Wanawake ni viumbe hatari sana wanaume tunarogwa sana. Unajuwa ni kwanini familia nyingi...
  14. Kina dada acheni kuwasumbua waganga kuwawezesha kuolewa wakati mlikuwa mnajibu hovyo enzi mkiwa kwenye ubora wenu

    Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
  15. F

    Waganga wa Tanzania

    Wako na umaarufu hadi hapa Kenya kila pahali mabango mganga hatari kutoka Tanzania. Mara Dar, Tanga lakini huwa naamini ushirikina
  16. Msaada: Namna ya kujiondoa katika vifungo vya uchawi, husda na nuksi bila ya kwenda kwa waganga na wachungani/mashehe feki

    Karibuni ndugu zangu maana hali sio hali
  17. Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike 2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya. 3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa 4. Huruhusiwi kumpa fedha mama...
  18. Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  19. M

    Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  20. Hakikisha una waganga watatu wazuri

    Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini, Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako. Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu. Waja wakisema biashara yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…