wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mowwo

    Mgomo wa Wafanyabiashara Arusha

    Wasalaam Nimepanga kufika Arusha mjini kufuata manunuzi kadhaa lakini nimejulishwa na machinga mmoja ivi kua maduka yamefungwa kwasababu ya mgomo wa wafanyabiashara. Mlioko Arusha mjini tujuzeni, kuna mgomo? Nisije kuchoma nauli alaf nikose mzigo
  2. The Supreme Conqueror

    Wanachotaka wafanyabiashara kwenye mgomo ulioanza leo tarehe Juni 24, 2024 Kariakoo na nchi nzima

    1. Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao zaidi ya 10 na mamlaka ya mapato TRA ,hawakupata majibu. 2.kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao na serikali kupitia Mkuu wa wilaya ya Ilala wakiomba Waziri wa fedha afike kuwa sikiliza lakini Waziri wa fedha hakuwahi kwenda. 3.Mkuu wa...
  3. L

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umenikosha sana leo sakata la wafanyabiashara Kariakoo

    Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo. Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
  4. A

    Sensa (needs assessment) ya wafanyabiashara Kariakoo inahitajika

    Ili kuepusha migomo kujirudia inahitajika elimu kubwa hapo kariakoo, taarifa zifuatazo zitasaidia kutengeneza maudhui ya kozi husika, 1. Majina kamili (kama yanavyoonekana kwenye NIDA), 2.TIN (anwani ya biashara ilipo), 3. Kiwango cha juu kabisa cha elimu, cha wafanyabiashara. 4. Mahojiano...
  5. D

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  6. Replica

    Chalamila amepaniki mpaka anawatishia maisha wafanyabiashara, adai akiwachimba mkwara hawataamka tena

    Mkuu wa mkoa, Albert Chalamila amefika Kariakoo kujaribu kufungua maduka lakini katika harakati hizo ameweka vitisho vilivyopitiliza.. Chalamila: Aliyekubali kufungua afungue na yule ambae atamletea mkwara mtu yeyote yule aliyekubali kufungua naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo...
  7. DogoWaNjombe

    Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara. Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
  8. Yoda

    Wafanyabiashara jipangeni malalamiko yenu yaeleweke, na pia mtimize wajibu wenu

    Nimeyasoma madai ya wafanyabiashara yanayouzunguka mtandaoni(ambayo yaka kama 14) na nimeona mengi hayana mashiko, hayaeleweki au ni vigumu kutekelezeka. Halafu madai ni mengi mno kiasi kwamba inakuwa vigumu kofocus kwenye mambo yapi ni muhimu. Pia kuna mambo yanawahusu wafanyabiashara wenyewe...
  9. UMUGHAKA

    Wafanyabiashara Makanjanja wamewagharimu sana Wafanyabishara waaminifu, hivi sasa wanatumia nguvu nyingi kumshawishi mteja

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Wafanyabishara na wachuuzi ambao kwa muda mrefu wamekuwa si waaminifu wamewagharimu wafanyabishara waaminifu kiasi kwamba wanapata taabu sana kuwashawishi wateja ambao walishakosa imani! 1. WAUZA MACHUNGWA SEGERA Hapa kuna wahuni wao ulikuwa ukifika...
  10. mirindimo

    Wafanyabiashara Kariakoo kugoma muda wowote kutokana na madai yao kupuuzwa

    Ikiwa baada ya siku chache kupita ambapo Viongpozi walibembelezwa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara kariakoo bila mafanikio, wafanyabiashara hao wameadhimia kugoma mgomo usio na kikomo mpaka watakaposikilizwa na kutatuliwa kero zao. Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo...
  11. Ojuolegbha

    Mameya na wafanyabiashara Comoro kushiriki maonesho ya Sabasaba

    TAARIFA KWA UMMA: MAMEYA NA WAFANYABIASHARA COMORO KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA Kufuatia juhudi za utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) umefanikiwa kushawishi jumla ya Wafanyabiashara...
  12. figganigga

    DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  13. R

    Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hii imekaaje kwa wafanyabiashara wa ndani kwenye biashara ya mazao?

    JF wasaalam, Kwa muda mrefu sasa najionea Kwa macho yangu wafanyabiashara wa Nchi jirani wakinunua nafaka vijijini. Karibia Kila Nchi inayotuzunguka wafanya biashara wa mazao wamekuwa wakiingia Tanzania hadi ndani vijijini kusaka mazao. Hofu yangu ni watanzania wazawa ambao nao pia ni...
  15. Replica

    Wafanyabiashara nimewanyooshea mikono, kituo cha kujazia gesi Airport chafurika na foleni

    Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
  16. K

    Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
  17. ngara23

    Wafanyabiashara mnatoa bidhaa nje ya maduka hadi barabarani na kuziba njia, mnakera mno

    Nimekuwa nikiona wafanyabiashara mkitoa bidhaa na kuziba barabara mnakera mno . Mmeanza tabia za machinga . Ukifika Mwanza Mitaa ya Liberty barabara zimejaa vyombo madiaba, magoro, nguo Midori, n.k Unapanga bidhaa dukani unaona hazitoshi mnakuja kupanga njee barabarani na kuziba njia/ barabara...
  18. enzo1988

    Kwa wafanyabiashara wa viungo, naomba msaada kwenye hili

    Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya viungo, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo: 1) Bei ya kilo moja kwa kila kiungo huko mashambani. 2) Bei kwa kilo moja mpaka inafika Dar es salaam. 3) Ubora wa kila kiungo. Viungo ambavyo navihitaji kupata taarifa zake ni : a) Iliki b) Mdalasini c)...
  19. Dkt. Gwajima D

    Wafanyabiashara ndogo ndogo, tumieni simu janja (smartphones) kujiongezea maarifa

    SIMU JANJA ZIWASAIDIE KUPATA TAARIFA ZA MAENDELEO - WAZIRI DKT. GWAJIMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaasa wafanyabiashara ndogondogo kutumia simu janja walizonazo ziwasaidie kupata taarifa sahihi za fursa mbalimbali za maendeleo...
  20. K

    Elimu ya kodi kwa wafanyabiashara: Kodi ya VAT sio yako

    Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
Back
Top Bottom