MBEZI SASA IMEANZA KUPENDEZA SANA!
Mbezi Mwisho sasa ukifika imeanza kupendeza sana kutokana na mpangilio mzuri wa maeneo ya biashara za machinga. Hapo awali, binafsi sikuwa napavutiwa sana kutokana na mpangilio mbovu wa maeneo hayo.
Ilifikia hatua biashara zilipangwa hadi barabarani na kwenye...
Na Mwandishi Wetu, Arusha
WAFANYABIASHARA 20 wa Kitanzania wanaoendesha biashara zinazolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wamechaguliwa kujiunga na awamu ya tatu ya programu ya AfroGreen, inayolenga kuwawezesha kukuza biashara zao, kuvutia uwekezaji na kuongeza fursa za...
Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk
Bei nimenyooka na hakuna free delivery .
Tupo kariakoo Magila na likoma.
Check 0745588735
Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
Wanasiasa wengi wa upinzani waliowahi kuvitikisa vyama Tawala na kuviondoa madarakani walikuwa wafanyabiashara mabilionea na matajiri mfano Hakainde Hichilema Zambia, Ruto kenya
Msituletee siasa zenu za kimasikini masikini sisi
Wakazi wa Eastleigh, Nairobi, wamezua mjadala baada ya video kusambaa mitandaoni ikidai kuwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanawauzia wananchi maji yaliyowekwa kwenye vifungashio vya mafuta ya kupikia.
Katika video hiyo, chombo kinachofanana na kifungashio cha mafuta kinaonekana...
Habari wana JF!
Kwa wale wafanyabiashara humu ndani, ningependa kujua: Kwa sasa mnatumia mbinu gani kusimamia bidhaa zenu (Inventory), kuanzia bidhaa zinapoingia hadi zinapouzwa?
Ni changamoto gani kubwa mnayokutana nayo katika mchakato huo, na kwa mtazamo wenu, mnadhani ni mbinu au mfumo...
Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa .
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
Ndugu wanajukwaa,
Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam.
Mwaka jana 2025, tulikutana na...
Anonymous
Thread
barabara
biashara
haki
kando
kando ya barabara
kuvunjwa
malalamiko
ndani
siku
siku tatu
ufafanuzi
wafanyabiashara
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell WICKNELL Chivayo, mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe aliyefariki hivi karibuni, anadaiwa kuacha madeni ya magari ya takriban dola za Marekani milioni 5.1.
Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na chombo cha habari cha ZimLive, Oktoba 20, 2026...
Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike.
Kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara, hasa wale walio pembezoni mwa barabara, kutumia redio zenye matangazo ya...
Anonymous
Thread
barabarani
bila
hawawezi
kuuza
sauti
spika
wafanyabiashara
Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
Anonymous
Thread
biashara
biashara ya saluni
elimu
hatuna
kuhusu
malipo
service
service levy
wadogo
wafanyabiasharawafanyabiashara wadogo
Bi. EVA MBIRU mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameishukuru Serikali ya Tanzania kutoa nafasi kwa wakazi wa Rukwa kuidhimisha kilele cha mwenge wa uhuru maana imewapa fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ujio wa wageni wanaotoka maeneo tofauti ndani ya Tanzania
Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao.
Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
alama
baraka
faraja
maendeleo
maendeleo ya tanzania
mkoani
mwenge
mwenge wa uhuru
rukwa
sumbawanga
tanzania
tuendelee
uhuru
umoja
vijana
wafanyabiashara
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
Habari za wakati huu, wana JamiiForums.
Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites katika kukuza biashara zao.
Katika biashara ya sasa, wateja wengi hutafuta bidhaa kupitia Instagram...
Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi
Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi.
Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/
Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
KUONESHA VYETI VYA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYABIASHARA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
Dar es Salaam 01 Oktoba, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawafahamisha wafanyabiashara na umma kwa ujumla kuwa mtu anayejihusisha na shughuli za kiuchumi zinazompatia kipato, ikiwemo biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.