Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
Habari wana JF?
Leo nazungumza na wadada wanaotamani kuolewa. Kumiliki mwanaume. Kama hauna mpango huo, basi endelea na threads nyingine.
Haijalishi mdada ni mrembo kiasi gani, una tabia nzuri kiasi gani. Ila hizi tabia zitakufanya uishie kuwa single mother, uchukie wanaume au wakufaidi...
Kuna wadada wana kiherehere, kanaanza mahusiano na mwanaume hana kazi wala biashara. Hujawahi kuona juhudi zake za utafutaji, unajichanganya kumchukulia mkopo halafu unakuja kutuita sisi wote mbwa sababu ya ubwege wako mwenyewe. Kaa jinga🥴🥴
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake
Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba
Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba
Za watoto
Za kike
Na kiume
Bei nafuu
Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu
Nguo...
Kijana wa watu amekukubali vizuri tu. Lakini baada ya muda unaanza kuleta nyodo. Simu ukipokea uko busy, SMS unajibu shortly.
Haya sasa, kijana anaamua kukuchana kuwa umechange hivyo kila mtu ashike 50 zake. Basi unalia wee, unaomba misamaha kibao na ahadi kibao ukidai unampenda sana...
Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo,
Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa wasichana wanao jiheshimu na kutaka kulitunza Hekalu takatifu, (mwili ulio umbwa na kubarikiwa na...
Habarini,
Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama...
Kutoka miaka 20 kwenda 30, miaka huwa ni kama haiendi inakuwa inasogea taratibu na kipindi hiki ndio mabinti wengi hukitumia vibaya kuringa na kudanga, wanatumika mno kumbe Mungu ndio amewapa kukitumia kufanya maamuzi sahihi kuchagua wenza sahihi wa maisha yao na sio kufanya umalaya.
Kipindi...
Wadada, wembamba!
Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana.
Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma.
Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi.
Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
Habarini,
Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila...
Uume wangu ni mkubwa sana hali hii inanikera kutokana nakimbiwa sana na wanawake wenye umri kama wa kwangu au niliowazidi.
Nikitoka kwenye shoo huwa hawarudi hata kutembea hawatembei vizuri naombeni msaada wenu njia ya kupunguza uume.
Yes.
Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi
Alafu kuwa muaminifu kwa 100% usiwe mjanja mjanja tu. Basi utatengeneza pesa mpaka uchoke ww
Kwa sababu watanzania wengi...
Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine .
Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi .
Sasa uwaze...
Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati.
Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya.
Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.