vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
  2. JamiiForums Tanzania Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha

    Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
  3. JamiiForums Tanzania Tumeangamiza asilimia 60% ya makombora ya Iran tunaingia kwenye hatua nyingine

    Kamanda Mkuu Wa Jeshi🇮🇱. "Tumeangamiza asilimia 60% ya makombora ya Iran tunaingia kwenye hatua nyingine ya mashambulizi ya kushangaza"
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais. Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem.. Anaongea kwa kufoka...
  5. JamiiForums Tanzania Vita iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran yaleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  7. JamiiForums Tanzania Vita ya kidini inachipua chinichini

    Kwa yanayoendelea. Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel. Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo huwezi kumuona hata mmoja kwa bahati mbaya akawa upande wa Iran. Ukitaka kuthibitisha hilo angalia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini vita huanza na msisimko mkali mwanzo halafu baadae hupooza ?

    Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita. Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa hata ukisikia mabomu yamerushwa Gaza hakuna jipya,rockets zimerushwa Israel hakuna jipya. Hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili: --- 🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz --- 🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani mjini Erbil Reuters, ikirejelea vyanzo vya usalama: kambi ya kijeshi ya Marekani na hoteli huko...
  10. JamiiForums Tanzania Social medias zimeanza kufanye 'Shadowbanning' ili kufifisha zinazoonyesha madhaifu ya US-ISRAEL katika uwanja wa vita

    Watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameanza kulalamikia ongezeko la uminywaji wa taarifa hasa za mlengo pinzani huku zikisukumwa zaidi vyombo/page au watu binafsi wanaoengemea upande wa pili.
  11. JamiiForums Tanzania Vita imeleta faida kubwa sana kwenye maisha ya mbeleni, kuliko amani

    "The sad truth is that some of the most important innovations in human history were born during wars. From the Internet and modern airplanes to life saving medicines like penicillin and a lot(nyingine zitatajwa hapo chini)." Katika history ya maisha, uwepo wa vita imeleta product nyingi mno...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa madudu ya Epstein files, bado unaamini Israel ni taifa teule?

    Kwa ule uchafu wa Epstein's file bado kuna mjinga anaamini Waisrael ndo taifa teule? Jeffrey Epstein ni mteule? Trump ni mteule? Netanyahu ni mteule? Cha kufurahisha hizo files hakuna Kiongozi wa Iran hata mmoja, hayupo Saddam wala Gadafi, Wala Putin Wala Xi jinping, wala Maduro wala Fidel...
  13. JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  14. JamiiForums Tanzania 50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

    Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi. Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya maudhui yaliyotengenezwa kwa AI kufuatia vita ya Iran, Israel na Marekani

    Kufuatia vita iliyoibuka kati ya Iran, Marekani na Israeli kumeibuka video mbalimbali kuhusu mashambulizi yaliyofanyika huko lakini nyingine si halisi bali zimetengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Unde (AI).
  16. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya raisi wafuatano wanaweza kuingiza dunia kwenye vita kwasababu wana tatizo la wenge

    Donald Trump Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa Kim Jong Un Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania AI inatumika sana kwenye vita hivi

    Kwenye hii vita kumejaa sana video za AI na picha za AI Unakuta kabisa mtu anakutumia video au picha ya ndani ya israel eti bomb limepiga hapa wakati kwasasa kwa muujibu wa taarifa wananchi wote wamekimbilia shelters yeye hizo picha kazitoa wapi ? Jamani mtatuua na AI
  20. JamiiForums Tanzania Vita inataka kunukia #Tujiandae #kwa #lolote

    Vita inataka kunukia #Tujiandae #kwa #lolote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…