vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

    Jana Pakistan limetokea shambulio la bomu katika msikiti wa Shia na kupelekea mauaji zaidi ya washia 30, ni kawaida sana kwa mashambulio kama haya kutokea kwenye nchi kadhaa kwenye jamii za Shia huko Asia, Kwa nini Wasunni hawawakubali washia kama Waislamu wenzao wakati wanafanana kila kitu...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Vita vya Mini Van (MPV) kutoka Japan: Ipi ni chaguo lako?

    Kuna wapenzi wa mini vans kwa matumizi ya familia, biashara (private/special hire) au misele mjini. Hizi nyingi zina seat 7 kwa configuration ya 2 + 3 + 2, na milango mitano. Ni spacious, kwa abiria na zina boot kubwa kwa mizigo. Pia zinakua na nguvu ya kutosha kabisa kuhandle uzito wa abiria...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

    Habari za usiku Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4. Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu) Nilijipa siku 3...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania CCM na wakata vichwa wanaotaka vita na kanisa Katoliki mmewasahau akina Komando Padre Dr. Henry Rimisho askari na majasusi wa kanisa?

    Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita. Anaitwa Dr. Henry Rimisho. Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa elimu na mengineyo unaweza kuwaogopa sana kanisa Katoliki. Jamaa Askari wa jeshi na alikuwa vitani...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

    Ndege vita za Saudia zimeshambulia vikosi vya Yemen
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

    Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE. Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

    Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa. Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni tishio kwa usalama wa Israel na inaonekana Iran amerejesha uwezo wake wa makombora zaidi ya mwanzo...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Viongozi wanapoamuru jeshi kuua raia ni tangazo la vita? Nini hatima yake?

    Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia. Kitendo cha kutoa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na vita ya maneno mtandaoni kati ya wakristo na Waislamu

    Kwa siku kadhaa kwenye nchi hii nimeshuhudia vita ya kimaneno katika watu wa imani ya kikristo na kiislamu na tena leo vita imechagizwa baada ya yule shekhe barahiyan kusema marufuku waislamu kula chakula cha krismasi kiukweli ukiona comment za wachangiaji wakristo na Waislamu nabaki nacheka na...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yapoteza mji wa mashariki uliokumbwa na vita

    Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu. Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua hiyo "kuokoa maisha ya wanajeshi wetu na uwezo wa kupigana wa vitengo", na kuongeza kwamba vikosi vya...
  14. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Eti vita za kiuchumi

    Nachoka mimi
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu fidia ya vita

    Nani anayeamua kwamba upande fulani ndo umlipe upande mwingine wakati wote wameumizana ma kutiana hasara.. Kwa mfano sasa hivi kwenye vita ya Ukraine na Urusi je wanajua kabisa kwamba mwishoni kuna mmoja inatakiwa amlipe mwenzake fidia. Na je nchi moja ikigoma kumlipa fidia mwenzake hatua gani...
  16. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Dangote vs Farouk na nafasi ya matajiri wetu katika vita dhidi ya rushwa

    Mvutano kati ya bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote dhidi ya Boss wa mamlaka ya usimamizi wa bidhaa za petrol Nigeria bwana Farouk ndio mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii. Kwakifupi sana, Dangote anamshutumu Farouk kuhujumu sera za nchi ya Nigeria kukuza uzalishaji wa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania M23 ni mzoefu wa vita na JWTZ ni mzoefu wa kulinda amani.Je watawezana kama M23 anazidi kuvuka umbali

    M23 ilishatumiwa sana kuhusu inashirikiana na nchi fulani na nchi hiyo ilikana. Sawa hata kukana nayo RSF kule sudani walisema hivyo hivyo. Ila leo RSF imekuwa tishio mpaka nje ya mipaka yake ya sudani. Kwa majigambo yetu ambayo tunajivunia tokea kumshinda Uganda utawala wa amini ni sawa na...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kapteni Tesha na vita ya Majimaji

    Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha. Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale. Hii haina tofauti na...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Kagera

    Wakati wote wa Vita vya Kagera Mwalimu Nyerere alikuwa anatoa hotuba kila baada ya muda fulani ili kuwajulisha wananchi maendeleo ya vita. Hotuba zote zimewekwa kwenye kakitabu haka. Kitabu unaweza kukisoma ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore. Hotuba No 1 2, Novemba, 1978. Ndugu...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu chanzo cha vita ya Kagera?

    Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha...
Back
Top Bottom