vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
  2. Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

    Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus. Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
  3. Kuachiwa kwa Kaijage kwarasimisha vita kati ya walosoma wakaelmika na walosoma lakini hawajaelimika

    Mwadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma bwana Melkisedek Kaijage leo kaachiwa huru baada ya upande wa mashtaka unoiwakilisha serikali kusema kwamba hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo ya mchongo. Hiyo ni kesi ya mchongo kwasababu siku wanasheria wa UDOM wakihangaikia dhamana kwa ajili yake dhidi ya...
  4. Vita Vya Iran na Marekani: Marekani haioni Mlango Wala Dirisha Wazi la Kutokea

    https://youtu.be/0nyVlmNq4qc?si=NVQUZVWeEMJOV9z1
  5. L

    Ujumbe kutoka Trump kwenda kwa Putin na Zelensky kutaka vita viishe. Urusi ingekua inazidiwa wangeenda Moscow?

    Ujumbe ulioenda Moscow,ulienda kuongea na Putin kutaka vita iishe. Sasa ujumbe huo umeenda Ukraine kuongea na Zelensky juu ya suala hilohilo la kumaliza vita. Katika Hali ya kawaida Zelensky ni mtu wao wala kwake hawatapata shida ya kumtaka vita iishe. Leo hii Marekani inaenda Moscow kutafuta...
  6. M

    Siamini kauli ya keki ni kubwa kwajili yetu wote kwenye biashara yenye ushindani, Biashara ni vita !!

    “Keki ni kubwa kwa ajili yetu wote.” Si amini. Kwenye biashara, kila mtu anataka kuongeza market share. Kila mtu anataka scale. Kila mtu anataka wateja wengi zaidi, branches nyingi zaidi, revenue kubwa zaidi. Wateja wako kuhamia kwao ndio mafanikio ya kibiashara kwe wengine Kuna muda...
  7. Vita Vya Iran na Marekani: Kumbukumbu ya My Lai

    Uchambuzi wa Mohamed Said: Mzozo wa Iran, Marekani, na Kumbukumbu ya My Lai Mohamed Said anachambua mivutano ya kijeshi na kisiasa kati ya Iran na Marekani katika Ghuba ya Uarabuni, akirejea historia ya vita vya Vietnam: Kuhusu mtazamo wa siri wa wananchi wa nchi za Ghuba (Arab Gulf) juu ya...
  8. Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
  9. Vita vya Shetani Dhidi ya Mwanzo Mpya

    Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika... Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo...
  10. Vita Vya Iran na Marekani: Trump ni "Shakara" Nyimbo ya Fela Kuti

    https://youtu.be/4kZwTnK3aWA?si=9XYD5qppRfqb7zxl
  11. Vita ya Wema na Haki inahitaji Subira. Mikazo na kutokukata tamaa

    Habari za Sabato! Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri. Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu. Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
  12. TUJIKUMBUSHE: Vita kali kati ya Haji Manara na Jerry Muro

    https://www.facebook.com/share/v/1871ZFr4qW/
  13. Juma lokole anakwambia wolper na mulky vita ni kubwa ya kugombania mwanaume isarito

    Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
  14. Korea Kaskazini na Israel Vita ya Iran na Marekani

    https://youtu.be/wu3ckYK_5Lo?si=A_gsYUQXj2EmpFdT
  15. F

    Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

    Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi. Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh. Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo Siasa ni hovyo...
  16. Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  17. Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  18. Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali". Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA...
  19. Rais wa Iran Kaanza kudoda ataka vita visimame!!!

    Rais wa Iran: Ni wakati wa kukomesha vita na Marekani huku Tehran ‘ikiwa katika nafasi ya kushinda vita!!’ Mwanamke anapita kwenye bango la kukaribisha lenye Rais wa Iran Masoud Pezeshkian kando ya barabara huko Islamabad, Pakistan, Jumanne, Juni 23, 2026. (Picha ya AP/Anjum Naveed) Rais wa Iran...
  20. Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…