vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii vita mpya mitandao inatuchanganyia na AI

    Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100 Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu...
  2. JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga yakosa ufuatiliwaji mitandaoni kisa Vita ya IRAN

    Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
  3. JamiiForums Tanzania China yaipa onyo USA na Israel isitishe Vita Mara moja

    Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi Source : msemaji wa serkali ya Beijing
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuitwa mwanaume, si lazima upigane vita na Marekani na Israel

    Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo meza kibao za mazungumzo ili tu tubaki kwenye uanaume wetu! Inatosha kuwa mwanaume hata...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Khamenei mzima yuko kwenye medani anaongoza Vita.

    Anasema Viongozi wote wa Nchi mpaka mda huu wako salama na Ayatollah Alli Khamenei anaongoza vikosi katika uwanja wa vita.
  6. JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kutaka Vita na IRAN

    1. Hatari ya silaha za nyuklia Marekani inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama tishio kubwa—inamshutumu Iran kutaka kujenga silaha za nyuklia (na wakati huo Iran inasema ni kwa matumizi ya amani tu). Marekani inadai inataka kuzuia Iran isipate uwezo wa nyuklia kamili kwa maana ya tishio la...
  7. JamiiForums Tanzania Vita ya ufahari, gharama ubabe na kupimana ubavu

    https://www.facebook.com/share/r/19UEzPsz9d/
  8. JamiiForums Tanzania Vita itageuka kuwa ya Waarabu tu, hakuna Marekani atakayeumia

    Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake. Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vita mpya mashariki ya kati

    Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah". Maeneo yaliyoshambuliwa ni makazi ya Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na kiongozi wa dini na kiongozi mkuu wa Iran...
  10. JamiiForums Tanzania M23 itegemee matokeo zaidi ya vita ya drone

    Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya jamming kwa sababu hili ni jambo mtambuka hata ukraine anahangaika bila mafanikio Hitimisho Jeshi la...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna. Ni vita tu!

    Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili...
  12. JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya Pakistan na Afghanistan Mmeipotezea?

    Jukwaa hili maarufu la nyuzi za kimataifa hasa vita zinazotokea na zilizotokea mmepotezea vita ya Pakistan na Afghanistan?
  14. JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  15. JamiiForums Tanzania Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  16. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  17. JamiiForums Tanzania Vita barani Afrika

    VITA BARANI AFRIKA.. Nchi ya kwanza kujitawala upya katika Afrika ni nchi za Afrika ya Kusini zilizojiunga na kujiendesha wao wenyewe katika mwaka 1910. Misri, katika mwaka wa 1922 walikuwa wanajiendesha wenyewe, na Tangier katika mwaka wa 1925. Madola mengi ya Afrika yalianza kupigania uhuru...
  18. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Kati ya Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Nielezee kwa kifupi sababu halisi za vita hivi, ili mtu akijitia upumbavu iwe ni shauri yake. Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo, wanaotaka kuuangamiza Ufalmu wa Mungu wa Israeli, na... 'malakia'...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti za uwezekano wa vita kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza

    Ripoti za uwezekano wa mzozo kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza. Mrorongo wa ndege za Marekani tayari uko katika eneo hilo, na diplomasia inajitokeza chini ya kivuli cha kuzuia. Tehran inajenga upya silaha zake, inaunga mkono wawakilishi, na inaendelea kutoa wito wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…