Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali".
Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA...