Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA.
Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
17 February 2023
Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ...
Toka maktaba :
Mawazo mengi na fursa nyingi zilizopo Tanzania zimeletwa na wananchi wenyewe ambao wamebahatika kutoka nje wakaona na kurudi nazo.
Nilichoshangaa ni kwamba kuna nchi nyingi zilizokuja hapa tanzania zikabeba na kujifunza walicho kiona na kupeleka kwao na leo ndio wanaongoza kwa uzalishaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 15 Februari, 2023 Ikulu jijini Dares Salaam.
Viongozi walioapishwa ni pamoja na:
- Mohamed Omary Mchengerwa aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo aliyehamishiwa Wizara ya Maliasili na...
Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu.
Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora.
Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika.
Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
Kwa kweli sielewi. Kama ni hujuma basi ni kubwa sana. Kwamba Serikali haioni jinsi malori ya wafanyabiashara wanavyoirarua babara ya TANZAM , haingii akilini.
Kwamba Serikali haioni jinsi TAZARA inavyozidi kudorora huku mizigo inachukuliwa na wafanyabiashara, haingii akilini.
Wafanyabiashara...
Sasa ni wazi kuwa katika ukanda Wa maziwa makuu Tanzania ndio nchi yenye viongozi Bora siasa safi.
Hakuna mtu anayeweza kubisha juu ya hili.nchi hii sasa inafaa kwa kuishi
Tanzania Ya sasa ina mpa kila mtu na fasi ya kuishi bila Hofu. Ulinzi umeboreshwa kwa kila mtu.shule hospital...
Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwashambulia wachuuzi wa biashara hapo mjini.
Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote...
Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums kwa majawabu katika hili swali linalonitatiza kwa muda sasa.
SWALI:
Je, suala la mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika taifa letu, swala la ndoa [kuoa au kuolewa] huwa ni jambo la lazima kwake yeye kulitimiza?
Mfano wa nafasi hizo za uongozi...
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.
Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala...
Huwa nawashangaa sana watumishi wa serikali. Hivi kwanini wanapenda kuandika vitu na kiviweka public bila kufanya uhakiki wa kilichoandikwa?
Huwa ni wavivu wa kusoma au ni nini? Nimekuta kibao hata Manispaa kwangu eti kameandika SEKONDALI Badala ya SEKONDARI hadi nimeona aibu!
Nyie watumishi...
Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa.
Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa.
Wewe umeacha kazi ya Mungu umekuwa tapeli wa kisiasa. Wananchi jimboni kwako watakutimua kama mbwa hata kabla ya uchaguzi...
Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amesema ni lazima Viongozi wote nchini wasikilize kero na kuzitatua kwa haraka na muda mfupi sana badala ya kurundikana kwa kero na migogoro mingi inayochukua muda mrefu.
Mjema ameyasema hayo akiwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM...
Zaidi ya shilingi milioni 901 zimekusanywa na serikali kuu kupitia mrabaha na ada ya ukaguzi katika mgodi wa madini ya shaba uliopo katika kijiji cha Nditi wilayani Nachingwea.
Hayo yamesemwa na afisa madini mkazi Iddy Msikozi alipokuwa akisoma taarifa ya makusanyo tangu Septemba 28, 2022 hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.