Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo.
Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake.
Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa...
Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu.
Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo wa utekelezaji wa majukumu yao ili kuleta mabadiliko ya kiutendaji katika Chama cha Mapinduzi...
Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti
Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma,
Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na viongozi wapole wapole!
Mbona haikuwa hivi kwa Rais Chuma cha pua Hayati John Magufuli
Hii inamaanisha...
FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.!
Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa.
Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia...
Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi.
Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini.
Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi wa ngumi za kulipwa unaongoza kwa kuwabeba mabondia wazalendo bila aibu yoyote, hata wanapopigwa...
Ni namna gani ya kuishi na kiongozi mwenye lugha ya ukali na matusi katika eneo la kazi
Asiyeshirikisha wengine katika jambo lolote zaid ya kuendekeza ubabe na paniki zisizo na msingi
Kubwatwa muda wote hata kama jambo ni dogo
Asiyependa ushauri kusikiliza watu na kukaa meza moja kupata...
Kuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya sita toka vijana waliopata ajira za mikataba lakini hawajalipwa chochote zaidi ya kuwapigisha...
Bwana Inno alivyokataa Bilioni 5 za Hayati kwenye miaka ya 2018
Alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata Bwana Inno ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro Said Nguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana wa
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu...
Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo.
Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki.
Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.
Chichi dodo
Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo
1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi
Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni vizuri wakawa wawajibikaji zaidi na kuwa wabunifu katika kuhakikisha Wanatenda vyema Yale yote...
TUNAWEZAJE KUTOKOMEZA VIONGOZI MACHAWA SERIKALINI
Tangu nchi yetu ya Tanganyika ipate uhuru mwaka 1961 tumekuwa na katiba tofauti tofauti zinazoongoza taifa hili, ambapo katiba hizi zimekuwa zikitoa miongozo na kanuni mbalimbali jinsi taifa hili litakavyo endeshwa. Na mpaka sasa nchi ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”
JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao.
Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
Asalaam Aleykum.
Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.