viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?

    Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!? Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  4. JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

    PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.
  5. JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kujivunia madereva 500+ wanaotumikishwa uarabuni ni mapungufu ya viongozi wa CCM.

    Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Siku Viongozi, Watawala, watawaliwa wote tukiwa tayari kujisahihisha tutatoka pale

    Kibanda: Nakujibu swali lako uliyosema tufanye nini. Sisi kama taifa lazima tuseme turejee katika misingi. Na pili tufanye kile ambacho Baba wa Taifa na Mwanzilishi alisema 'tujisahikishe'. Na hili la kujisahikisha hili... Ukiwaangalia viongozi wa serikali, wanataka sisi tujisahikishe...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Makonda asipotoshe umma, kwa mujibu wa biblia kiongozi wa dini hawapaswi kunyamazia maovu bila kujali kayatenda nani!.

    Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya. Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mange anavyoshauri watu waanze kudondosha vikaratasi barabarani yupo tayari kwa mafuriko ya vikaratasi vinavyoipongeza serikali, ccm na viongozi ?

  11. JamiiForums Tanzania TUWAFAHAMU VIONGOZI WA UMOJA WA MATAIFA (UN) TANGU KUANZISHWA KWAKE✍️🌍🇺🇳

    👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kushughulikia changamoto...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akutana na viongozi wa Mbinga kuimarisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au road trips

    Habari! Naitwa Julius, nina umri wa miaka 42, na natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au safari za barabarani (road trips), ikiwemo safari ndefu za kifamilia. Nina uzoefu wa miaka 10 katika kuendesha safari fupi na ndefu, ndani na nje ya Tanzania. Pia nimepata mafunzo...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikihitaji Viongozi CCM wametuletea Kihongosi

    Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu za kiisilamu na hukumu zao dhidhi ya wasiokuwa waislam na viongozi wakuu wa kiislamu

    Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi 1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
  16. JamiiForums Tanzania Coaster ya Milioni 334 Ruvuma vs Wanafunzi wanaokaa chini: Je, Viongozi wetu wana shida ya Vipaumbele au ndio "Kufuja Kodi" kwa Mgongo wa Utendaji?

    Ndugu wana-JamiiForums,Mnamo tarehe 18 Septemba 2026, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, chini ya Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ilizindua rasmi basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye thamani ya Shilingi Milioni 334 za Kitanzania. Lengo lililoelezwa na uongozi huo kupitia Wakala wa Huduma...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu kabla na baada ya uchaguzi

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii. Wakati wa kampeni hao...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…