Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali.
Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
Anonymous (c723)
Thread
ambulance
magari
magari ya viongozi
mwaka
nchini
viongozi
wakati
Salaam,
Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali aliyoifungua ina baraka zote za viongozi wa CHADEMA Zanzibar, kwani anachokipigania na wao ndicho wanapitia...
Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe.
Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
Katika saa za mapema za Jumamosi asubuhi wakati wa mfungo wa Ramadhani, huku sehemu kubwa ya Tehran ikiwa bado kimya, makombora ya Israeli na Amerika yalikuwa tayari yamerushwa angani. Ndani ya dakika moja, mashambulizi matatu yaligonga maeneo matatu tofauti katika mji mkuu wa Iran. Kufikia...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu?
Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
Prayer for YOU!
Father God,
Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees.
Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight.
For the...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuendelea kuwasimamia watendaji walio chini yao ili watatue changamoto za wananchi kwa wakati, badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu ndipo hatua zichukuliwe.
Maelekezo hayo...
Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.