Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado wananogewa kudanganywa.
Japo Simba haijaweka wazi, lakini ni kwamba, Miquissone ameuzwa kwa Al Ahly...