Wanabodi,
Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari...
1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!?
2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano.
Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka...
Kuona ni kuamini, think globally and act locally. Tunaomba viongozi wetu wa bara la Afrika tuliowasafirisha kwenda New York kwa kodi zetu kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Dunia, UN mrudi nyumbani na mipango mkakati ya kuboresha maisha ya watu wenu.
Sina shaka kila kiongozi aliyekwenda New...
Tafsiri isiyo rasmi;
Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;
"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano
(siyo tukio halisi)
Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html
Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika kujaribu kufufua mkataba wa AGOA (African Growth and Opportunity Act) ambao kimsingi ni sera ya Marekani...
Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja.
Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)
Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu...
Yanga SC ikiwa inafanya vyema
Wazungumzaji Wakuu ni
1. Injinia Hersi Said
2. Haji Manara
3. Mshindo Msolla
Yanga SC ikiwa inafanya vibaya
Wazungumzaji Wakuu ni
1. Haji Mfikirwa
2. Hassan Bumbuli
3. Haji Mfikirwa
Nitashukuru mkinijibu ili nijifunze zaidi.
Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020?
Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president?
Nauliza cv kwa sababu wanayofanya...
Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0.
Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na mdhamini GSM aende zake,wanachama na wapenzi tumwombe shujaa wetu MANJI ARUDI KUTUDHAMINI.
Sababu...
Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.
Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.
Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.
Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa.
2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine...
Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua.
Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
Rais Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo Septemba 17, 2021. Silima Juma Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi
Wengine walioteuliwa ni Lt. Col. Haji Sheha Khamis anayekuwa Mratibu wa Idara Maalum za SMZ na Makame Mussa Mwadini anakuwa Naibu...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
Habari,
Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja.
Napendekeza viongozi wafuatao washitakiwe haraka, maana wamelitia taifa hasara.
1. Waziri wa maliasili na katibu mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.