viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kkidini wamepotoka rudini kwenye mstari

    Matatizo mengi yanaendelea kuzikikumba jamii na familia katika kipindi hichi cha kidigital,maadili kuharibika uhuni na umalaya kuongezeka jamii imeoza kwa tabia chafu na mitazamo hafifu ya binadamu. Katika maisha zipo taasisi ambazo zinazo simamia maadili ya kila mmoja wetu kwa kuweza...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  3. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Viongozi waheshimuni Walimu la sivyo mtalaaniwa

    Niende kwenye hoja moja kwa moja. Kuna baadhi ya viongozi tena wa juu kabisa hawawapi heshima walimu na sababu ya wazi kwao kuwatendea uhalifu tena wakiwa nao ni walimu ni madaraka. Siku zote madaraka ni upofu. Madaraka yamekuwa yakiwatoa ufahamu viongozi wa juu mawizarani na kuwaona...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa. Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye...
  5. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekosa Viongozi wenye kufariji Wananchi

    Bana bha JF bonsoir!? Inasikitisha kuona ya kwamba hakuna kiongozi anajali na kuishi dhana ya uongozi hasa wajibu wa kufariji wananchi nyakati ngumu, kila kiongozi anajiangalia yeye na roho mbaya ikitamalaki. Hii nchi viongozi ni machatu ya kutisha. Bei zinapanda no body cares for a common...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Great thinkers wa JF, tuache kujadili viongozi/uongozi badala yake tujadili mstakabali wa taifa letu!

    Huu ni ushauri wangu kwa wana JF wote ambao wamekuwa wakijadili zaidi watu (viongozi wa kisiasa) zaidi kuliko mambo yanayohusu taifa. Ukweli ni kwamba, kwa sasa taifa letu limegawanyika kiitikadi/ufuasi pengine kuliko wakati mwingine wowote. Hii inatokana na kuwepo makundi ya wanaojadili...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

    Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji. Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

    Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani? Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kremlin inavyopata viongozi wake

    Nilisoma andiko jinsi Kremlin inavyoandaa viongozi wake. Ni mpango wa muda mrefu. Unaanzia vijana wakiwa mashuleni. Walimu wakuu wanapeleka majina ya wale wanaopata A na B, kwa kifupi wanafunzi wao bora. Hawa wanaandaliwa kuanzia Chipukizi mpaka kujiunga na umoja wa vijana wa chama. Hawa...
  11. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wote ktk nyanja zote najuwa mwajuwa ila nasisitiza

    Binadamu ni mtu anayependa kupata fursa ya kusema ili awe na amani,ndg viongozi msijisahaulishe wala kupuuzia mnapoongoza watu wapeni nafasi ya kujadili,kukosoa,na kushauri na haya yote yafanyike kwa uhuru kamili. Mimi nimewahi kuongoza ktk taasisi ya serikali nilipokuwa natenda haya mambo...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika Taifa lolote kuendelea, Viongozi msilambe asali mkajisahau

    Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea kipindi kama hiki viongozi washauri baadhi ya Watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari

    Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari. Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia. Mfano...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  15. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa, utamaduni wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa viongozi waliokwishafariki ulianzia wapi?

    Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wengi wanakosa busara, wamejawa mihemko, hasira na ghiriba nyingi

    Binafsi sijawahi kuwa na shida ni watu kama Jeneral Ulimwengu. ni mtu ambaye nimekuwa nikimowna anasimamia ile ambacho anaamini kwa nguvu kubwa tu. jambo ambalo ni zuri. Ila mwisho wa siku naye ni binadamu kama binadamu wengine kuna madhaifu anakuwa nayo. gazeti lake maarufu sana la Rai lilikuwa...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuwanyambue viongozi wetu mbalimbali na utendaji wao uliotukuka kwa taifa letu Tanzania

    Naanza na Mwl. Julius kambarage Nyerere, Rais wa kwanza kwa Tanzania yetu. * Aliupigania Uhuru wetu * Alituunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuwa na lugha moja (kiswahili). * Alishawishi muungano wetu kati ya bara na visiwani (muungano adhimu na imara) * Alitetea vyema ardhi YETU...
  18. Candela

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Covid ni uongo mtupu kwa viongozi wetu

    Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani. Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu. Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

    Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika. Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya… @ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba @VAR...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
Back
Top Bottom