Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
Waingereza wameonyesha umakini wa kulinda na kuimarisha maendeleo na ustawi wa taifa lako. Hawako tayari kukaa na kiongozi mbovu bila kujali itikadi za vyama.
Tanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwasifia na kuwatukuza viongozi wetu hata wale ambao dhahiri ni wabovu. Sina haja ya kuwataja...
Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi.
Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje?
Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
"Jambo muhimu la kiongozi ni kusikiliza watu wake, viongozi hamna monopoly right ya wisdom, viongozi hawana monopoly right ya truth, viongozi hawana monopoly right ya wao wako sahihi kila siku na mheshimiwa mwenyekiti hakuna jambo muhimu katika kupanga mipango yoyote duniani kama takwimu"...
Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini?
Kama nusu saa hivi tukasikia
Wioo wiooo wiooo...
Ndugu zangu,
Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha.
Hii...
Na WyEST,
ARUSHA
Wito umetolewa kwa Viongozi wa taasisi na wadau wanaojishughulisha na utoaji wa Elimu Jumuishi, kuendelea kushirikiana na Serikali katika kujenga shule kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum.
Wito huo umetolewa Jijini Arusha na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda.
Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
Habari!
Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu.
Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
Linalonishangaza Katiba ya nchi iko wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama.
Na akifukuzwa uanachama sio mbunge tena.
Ni Tanzania hiyo hiyo ina Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama lakini bado ni wabunge na mpaka leo hii wanalipwa posho na mishahara ambayo ni kodi za masikini.
Hatuwezi...
Habari JF,
Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani.
Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza.
Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako.
Habari hii ni...
Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.
Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi.
Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Tanzania ni salama na haina tishio lolote la usalama, pia Masauni amesema hakuna sababu ya Mtanzania yeyote ikiwemo viongozi wa CHADEMA waliopo nje ya nchi kutorudi Nchini ili waje kutumia fursa zilizopo za maendeleo pia kushiriki kutoa mchango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.