Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa...
Maana sote ni mashahidi wa namna viongozi wa serikali sikivu ya CCM wanavyochapa kazi kwa weledi na bidii usiku na mchana, ili hatimae wananchi na waTanzania wote wanufaike kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Hata hivyo,
licha ya kazi hizo kubwa na nzuri sana zinazofanywa na viongozi katika ngazi...
Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao.
Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho?
Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya.
Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao
Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21?
Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao?
Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia
Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa.
Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
viongoziviongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza
Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele.
Tumeona sukari,reli na n.k.
Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke fulani ambaye kichwani ana matatizo makubwa sana , ni wazi pengine hata wazazi na mama yake mzazi...
Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.
Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la...
Mgomo wa madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri unapotokea, huathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya wananchi wa kawaida—kama wapo wanaokosa kuhudhuria harusi, misiba ya wazazi, mahojiano ya kazi, au hata matibabu ya dharura. Poleni sana wote mliopatwa na madhara haya.
Tathmini yangu...
Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia.
Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
kiongozi
kuliko
kuwepo
marais
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uhuru
viongozi
waliowahi
wanasiasa
wote
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.
Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?
Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...